Nyumba inauzwa ipo Maeneo ya Temeke Wailesi jijini Dar es salaam. ipo eneo lililopangwa vizuri yaani ni mtaani. Inauzwa kwa bei ya Milion 180. Nyumba ina nyaraka zote na haina mgogoro wowote. Nyumba ina vyumba vya nyumba kubwa na Mabanda ya uwani.
Kwa Mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba...
Hajafanikiwa Bado... Mpigie simu maana hana access ya net, nilimtext kumwambia anauliziwa JF akasema hajafanikiwa na cm anayotumia now hai support net.
Hajafanikiwa Bado... Mpigie simu maana hana access ya net, nilimtext kumwambia anauliziwa JF akasema hajafanikiwa na cm anayotumia now hai support net.
kikubwa ni traffic. na mbinu za kupata unique visitors. binafsi nna akaunti zaid ya 10 za adsense, mtu anapewa on demand na kupewa maelekezo zaid juu ya utumiaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.