Dela
Member
- Aug 25, 2013
- 78
- 13
Nyumba inauzwa ipo Maeneo ya Temeke Wailesi jijini Dar es salaam. ipo eneo lililopangwa vizuri yaani ni mtaani. Inauzwa kwa bei ya Milion 180. Nyumba ina nyaraka zote na haina mgogoro wowote. Nyumba ina vyumba vya nyumba kubwa na Mabanda ya uwani.
Kwa Mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0719 389159
Kwa Mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0719 389159