Recent content by DEGIJONZE

  1. DEGIJONZE

    Usimuoe au usimtongoze mwanamke unayempenda

    Miaka miwili ni michache sana kusema lolote.
  2. DEGIJONZE

    5 tricks to make girls or women chase you

    Kwa wanawake wa ulaya hii ina apply sana
  3. DEGIJONZE

    Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Unapelekaje mtoto miaka 8 boarding si bora umtafutie day school, boarding peleka akishaanza kujitambua
  4. DEGIJONZE

    Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Mahusiano kitu cha ajabu sana. Umekutana na wanao kata mauno,af unaanza kumkumbuka ambaye alkuwa hakati mauno, ha ha ha ha ha
  5. DEGIJONZE

    Unayempenda hakupendi na usiyempenda anakupenda

    Duuu pole sana,kwahiyo kwasasa umeshajua utamu wa mapenzi??, ha ha ha ha
  6. DEGIJONZE

    Ni umri gani hutakiwi kuvuka kabla ya kupata mtoto wa kwanza?

    Kwani kakuambia yeye ni mwajiriwa anategemea kustaafu?
  7. DEGIJONZE

    Changamoto za wake vibonge

    Kuoa haitakiwi kuwa bahati mbaya inatakiwa iwe planned maana ni jambo nyeti sana
  8. DEGIJONZE

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Kakutoa kwa madiba af ghafla anakuacha Tandale🤣🤣🤣🤣
  9. DEGIJONZE

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Kama unaona madkatari wanafaidika na mfumo kasome na wewe uwe Dr,kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake........katika maisha hamuwez kuwa sawa wote
  10. DEGIJONZE

    Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

    Hata maandiko matakatifu yanasema enyi waume wapendeni wake zenu na enyi wanawake watiini waume zenu......jukumu la kupenda ni la mwanaume,mke anawajibika kukutii tu kama humpendi kabisa bora ujitafakari mara mbili maana huko mbele ni kiza kinene
  11. DEGIJONZE

    Hisia: Ulianza kujihusisha na ngono ukiwa na umri gani na siku ya kwanza ilikuaje?

    Aisee nn sasa mbona hujamalizia kilichotokea?😀😀😀
  12. DEGIJONZE

    Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

    Kuna tatizo hapa sidhan kama mtakuwa mnapendana.........labda ilkuwa for fun
  13. DEGIJONZE

    Sifa 10 za mwanamke bora wa kuoa

    hujachoka tu kurudi??😁😁😁😁
  14. DEGIJONZE

    Umewahi kufumaniwa na wazazi wako ukisaka papuchi?

    duuuu ile mzee wako alkuwa kiboko,hahahahaaa😀😀😀😀😀😀
  15. DEGIJONZE

    Kupendwa sana na mtu usiyempenda

    ushauri wako basi nauhitaji kwenye hili
Back
Top Bottom