Recent content by defashi

  1. defashi

    USED NOKIA 3.1

    Network; 4GLTE Camera ; 13mp + 8mp Storage ; 16GB Ram; 2GB Screen size; 5.2inch Battery; 3000mAh Color: white Dous price 320,000/= serious customers nicheki 0763776305
  2. defashi

    Samsung s5 inauzwa

    Used ila ipo kwenye good condition. price: 370,000/= serious customers 0763776305 sinza.
  3. defashi

    Hatimaye walimu 4,549 kati ya waombaji 91,108 waajiriwa rasmi. Kuripoti moja kwa moja shuleni kuanzia May 7, 2019

    Wengi waliopata ni wale wa shule za msingi. Budget ya mishahara ni muhimu pia.
  4. defashi

    Hatimaye walimu 4,549 kati ya waombaji 91,108 waajiriwa rasmi. Kuripoti moja kwa moja shuleni kuanzia May 7, 2019

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) imepata kibali Cha kuajiri jumla ya walimu 4549 Kati ya 91108 walio tuma maombi yao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo 27 Mei 2019 Magogoni, Dar es Salaam, Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI...
  5. defashi

    Baadhi ya Matangazo ya Kazi

    :D:D:D Hatari sana hawa jamaa.
  6. defashi

    Baadhi ya Matangazo ya Kazi

    Wapo watu wanaweka matangazo ya kazi. Watu wanafanya application na wanapewa hadi sehem na tarehe ya interview. Ila wakienda wanakutana na semina za Network Marketing. Me naona hii sio fair cos watu wanajiandaa kwa interview na nguo wanapasi then unaenda kuambiwa utafute watu watatu cjui blaa...
  7. defashi

    Nafasi ya kazi ya ulinzi

    hahahaaaa silaha mara nyingi unajiongeza tuu.
  8. defashi

    LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

    watafute wahusika wanaweza kukusaidia.
  9. defashi

    LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

    laini ni zangu na nitazipeleka mwenyewe kwa finger print kama watahitaji.
  10. defashi

    LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

    350k kwa zote mbili.
  11. defashi

    LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

    350,000 kwa zote mbili.
  12. defashi

    LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

    Nauza line mbili moja ya tigopesa na nyingine ya m-pesa. Serious customers tuwasiliane. 0763776305 zote mbili 350,000/= NOTE: Bei Haipungui
  13. defashi

    Tunarudi nyuma? Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa 4%

    Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.
Back
Top Bottom