Hawa jamaa ni smart recruiters
They know that they are doing
Ukiwa mteja wao na ukawapa vigezo vya nafasi fulani ya kazi, kiukweli watakukupa the best candidate
Tatizo wabongo tunezoea kupeana kazi pasipo kumeet vigezo
Mimi binafsi nafurahia utendaji kazi wao
Wako very organised na they...
Habari za Leo wadau
Nahtaji electrical engineer mwenye uzoefu wa kazi za viwandani au electrical woeks
mwenye uzoefu Kati ya miaka 3 hadi 5
Tuma CV:deezekiels@yahoo.com
Asante
Habari zenu jamani, niliomba nafasi 3 za Kazi tbs, zote nimeitwa na zote usaili ni tarehe 31/07/2014 saa 8:30 - 10:00, msaada wenu wadau kuhusu hii issue..
Habarini wadau.., naomba msaada kwa kujuzwa gharama za kutoa hii gari pale bandarini dar es salaam:
Make:Toyota
Model: Mark II Blit
Manf: 2007/3
Cc: 2590
CIF: USD 1850
Chassis#: JZX 110-0022307
Habarini Jf, naomba mnijuze gharama za kutoa ghari hii bandarini Dar es salaam.
Make: Toyota
Model: Mark II Blit
Year/month: 2007/3
Cc : 2490
CIF : 1850 USD.
Nashukuru kwa ufafanuzi ndugu, mimi ninachelewa kupata usingizi, kwa hiyo ninalala masaa 6-7, umri wangu ni miaka 28, maji nina kunywa lita 1.5 kwa siku, choo ninapata vizuri, lakini wakati mwingine nahisi ganzi ubongo wa nyuma hivyo napoteza kumbukumbu na kukosa hisia au mguso wa matikio na...
Habarini, naomba msaada kwa hili tatizo; mi ninapata mumivu makali sana ya kichwa katika paji la uso pale ninapo tizama vitu vyenye mwanga hususani mkali, vitu hivyo ni luninga, computer, simu ya mkononi n.k , nikitizama vitu hivi kwa muda fulani mwanga wake unanitanya macho kuuma ikiambatana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.