Recent content by Deepro

  1. D

    JamiiForums Tanzania Posta Kahama ni janga la kitaifa.!

    Habari zenu wanajukwaa hili pendwa, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiwa kama mtanzania mzalendo ambaye natumia huduma za posta mara kwa mara kutuma na kupokea mizigo midogo nje ya nchi sasa tatizo linakuja kwa hawa wafanyakazi wa shirika la posta tawi la Kahama ambapo kuna mama mmoja mtu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Wengine hata mama zao walikuwa bado wako form 2[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Uko sawa kabisa mkuu...tena ingekuwa mwisho wa mwezi ningekutumia vocha Kwa point nzuri sana. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Yaani umegusa penyewe kabisa mkuu! Nilichogundua asilimia kubwa ya members humu ni watoto waliozaliwa miaka ya 90 hivyo ukiongelea msanii kama Sugu wao wanajua ndo ameanza kuimba miaka hii! Mfano kuna mtu nilishakuta anabishana kuhusu msanii Jmoe huyu aliyeimba "nisaidie kushare" eti ni msanii...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Umenikumbusha mbali Sana Duh..! Solo thang..."hakuna S bila O"[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Wewe umezaliwa mwaka 2003 utamjulia wapi Sugu? Uliza sisi baba zako wadogo ndo tunawajua hawa wasanii wa miaka hiyo vizuri, Elewa unapozungumzia Sugu unazungumzia moja ya watu waliofanya muziki wa kizazi kipya ukubarike kwenye jamii kama hivi leo. Ukiweza tafuta nyimbo za Mr 2 zifuatazo:-...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Asilimia kubwa ya wanaomchukulia poa Mr Sugu ni hawa vijana waliozaliwa hivi karibuni ambao sa hivi ndo wanavaa modo na kupaka poda.! Ila Kwa sisi wahenga ambao miaka ya 2000 - 2001 ndio tunaomjua Mr 2 "Sugu " ni nani. Mie sinaga muda wa kusikiliza hizi nyimbo za kina "Dawamondu " Mie zangu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi za Sugu zenye Ujumbe na zilizohit sana kuliko za Professor J?

    Umesahau wimbo unaitwa "Hali halisi" wa Sugu ni noma
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujifunza hacking lazima utazame hizi movies

    Mkuu cheki Kwa hawa jamaa mie nilijaribu ikakubali but yataka moyo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujifunza hacking lazima utazame hizi movies

    Ingia Kwa hawa Jamaa mie nilijaribu ikakubali ila uwe na moyo mkuu.!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki iliyotumika kidogo

    Somo linajieleza hapo juu niko Geita Natafuta pikipiki ya kununua ya bei ndogo iliyotumika kidogo hata miezi kadhaa au mwaka 1 Aina ya Boxer au Tvs Iwe na vielelezo vyote Nahitaji Kwa shughuli binafsi na nimeona aina hizo ndio zitanifaa hivyo Kwa yoyote anayeuza tafadhali tupia hapa picha za...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Usawa huu tutazidi kuona mengi ya ajabu zaidi

    Ni miezi kadhaa aliibuka mzee mzima Dk.Shika a.k.a "Bilionea wa nyumba za lugumi" Kama kawaida mzee aliibuka kama utani na zile ahadi za mabilioni alizoahidi mara ghafla mzee akawa maarufu zaidi hata ya baadhi ya wasanii Bongo movie wa siku nyingi.! Hivi sasa tukiwa tumeanza kumsahau Dk Shika...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nampenda sana huyu member, sijui nitampataje

    Usisahau kuleta mrejesho
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nampenda sana huyu member, sijui nitampataje

    Kumbe inawezekana Mbwa dume ni mwanamke? Duh kazi kweli
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nampenda sana huyu member, sijui nitampataje

    Jamaa aangalie isijekuwa ni wale watekaji. Hivi kule Mabwepande zoezi linaendelea?
Back
Top Bottom