Hivu watu mnaotetea ya mwendokasi sioni utetezi wenu inakuwaje unatetea mradi ule wakati umefail kwnye miundombinu hadi operation.
Kwenye miundombinu maji yakijaa pale jangwani basi hakuna safari so utajengaji mradi wa kipindi cha kiangazi tu na sio kiangazi na kipindi cha mvua???
Na
Acha porojo zako na wew tuambie mkoa wa mara una makabila wangapi?? Maana hapo unataja matatu tu wkti ni zaidi ya hapo na je kabila kama wanyambo umechkua vigezo gani kuwaona co wasomi kuliko wazahanaki??? So jipange mkuu acha kutetea makabila yenu lbda kagera ungebuttle na kilimanjaro au...
UJUE SISI BINADAMU TUNA ROHO MBAYA SANA SA HAPA MTU KASEMA ALISHAFANYA BIASHARA SEMA KUTOKANA NA MATATIZO YA FAMILIA YKE AMEAMUA KUPIGA CHNI SO KNACHOTAKIWA NI KUMSHAURI AFANYE NIN ILI APATE MTAJI MWNGNE AU MBNU GANI AFANIKIWE?? MI NAHISI WATU TUNATUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTOA STREC ZTU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.