Bora hyo Ela ukanunue Samsung A50 na chenji inabaki kuliko tecno/infinixHizi infinix nimeona zinauzwa hadi 1.2million bei ya Huawei p30
Vipi ubora wake
Sidhani.!Hizi infinix nimeona zinauzwa hadi 1.2million bei ya Huawei p30
Vipi ubora wake
Hizi infinix nimeona zinauzwa hadi 1.2million bei ya Huawei p30
Vipi ubora wake
Infinix, tecno, itel ni kampuni moja. Ukiuziwa simu yoyote ya hiyo kampuni kwa zaidi ya laki 3 umeibiwa.Sio kweli...Flagship ya Infinix ni Infinix Zero 6 na Bei yao elekezi ni Tshs 850,000/=
Infinix, tecno, itel ni kampuni moja. Ukiuziwa simu yoyote ya hiyo kampuni kwa zaidi ya laki 3 umeibiwa.
Simu za hiyo kamuni bei yake ni laki mbili hadi tatu, usije kuibiwa.
Juzi moja niko maeneo mazuri sana, niko na mshikaji wangu ana latest phone ya tecno, sijui canon sijui kitu gani, nikamuomba anipige picha kwa sababu simu yangu s9 ilizima charge, kisha anitumie kwa whatsapp, aisee nilipokuja kuzifungua kwenye sim yangu ni mbaya balaa. Nikajua hizi simu ni vimeo
Sina tatizo na mtu kutumia tecno, tatizo langu ni pale mtu anauziwa tecno bei mbaya wakati hazina hiyo thamani. Lakini pia anauziwa tecno kwa kulinganishiwa na brand kubwa kama Samsung high end devices. Unakuta mtu tecno kauziwa laki 6 au laki 7 alafu anajilinganisha na labda samsung s8 au s9.

Uko sahihi whatsapp inapunguza quality ya picha japo hizo brands za Infinix,Tecno,itel na jirani zake si salama sana kwa matumizi ya viumbe hai.Ukipiga simu hta kwa iphones yyte ukituma whatsap quality ya iyo picha inapungua
Simu ya 850,000 hlf inatumia processor ya Snapdragon 636 ambayo unaipata kwenye simu za laki 4!Sio kweli...Flagship ya Infinix ni Infinix Zero 6 na Bei yao elekezi ni Tshs 850,000/=
Kabisa mkuu sidhani hata kama anamfikia redmi note 6 pro japo wanashare same chipsetSimu ya 850,000 hlf inatumia processor ya Snapdragon 636 ambayo unaipata kwenye simu za laki 4!
Ni wiziiiiiiiii!
Kwa Redmi note 6 nadhani anamfikia sababu hii infinix ina 6GB &128GB. Ila kwa Redmi note 7 au Lenovo Z5s ya laki 5 (nayo ina 128GB, Snapdragon 710) huyo infinix agusiKabisa mkuu sidhani hata kama anamfikia redmi note 6 pro japo wanashare same chipset