Recent content by dedeshi

  1. D

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Kweli kupigwa rïsasi tundu antipus bado ni jambo linalosemekana kutendeka? Huyu ni nani hajaamini na hajulikani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    Ripoti mbili za kamati teule za bunge leo zimetoa funzo moja kubwa kwa Watanzania, kwamba CCM haipaswi kuwa madarakani

    Dawa ya uozo huu ni kubaili mfumo wa nchi si watu kwa kupigia kura rasimu ya katiba ya Warioba ili hata aspokuwepo Jpm mabadiliko yanadumu la sivyo hakuna tufanyalo la kuendeleza nchi kea kizazi kijacho tunajichora tu. Mfumo ufumuliwe kwanza. Tukubali hili Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Sumaye: Sirudi CCM pamoja kuwa nitateseka kwa visasi hivi

    Binadamu hana ruhusa kuipa kisasa! Hïyo ni kazi ya mungu, atafanya kitu! Hivi hawa wanaoshangaa eka 326 kuwa nyingi wanaishi rwanda? Hapa kwetu ni kitu cha kawaida, hata balozi anaweza miliki ekari 400 mbona hawajanyangwanywa, halafu viongozi wetu na hao wana JF wanashabikia kuendeleza kwa...
  4. D

    Serikali yanyakua ardhi nyingine ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Frederick Sumaye

    Hivi kuendeleza SNEP ni mpaka ulime au ujenge nyumba tu? hifadhi ya msitu kwa ajili ya kutunza nature na viumbe, kwa matumizi ya kuvuta mvua, au kupunguza hewa ya ukaa kwa malengo mapana ya kuwa na mazingira endelevu sio kuendeleza eneo? Ngoja siku wakilima maeneo yote wakakosa mvua...
  5. D

    Wakati Tanzania wakihangaika kumsweka lupango, nchi za nje wamtambua Lissu kama shujaa duniani

    Haki haimbwi inatafutwa kwa kupiganiwa na sauti ya vita huwa ya juu na kali ndio maana kama unaona mtu anaelekea kuingia shimoni kwa bahati mbaya au kwa kutokujua utapiga kelele ! Kama afanyavyo lisu kutoa sauti ya kuokoa ! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

    Kuna tofauti kati ya jpm na ccm! Rais amesema hasñeshi wasichana waliopata mimba ILANI ya CCM kifungu cha 52 (ïi) inasema wasiähana wanaopata mimba shulenï wataruhusiwa kusña baada ya kujïfungua! Sasa hamna tofauti?? Jpm aanzishe chama makini zaidi au awe mgombea huru mafisadi na wezi...
  7. D

    Madiwani wa CHADEMA Ubungo wakamatwa kwa Rushwa na TAKUKURU

    Rushwa ni mbaya sana ila hii move inatia shaka! Ngoja tusikie upande wa pili, je wale wa rushwa wa mikataba mibovu na escrow ni watu binafsi sio chama ila kwa hawa madiwani ni chama, rushwa =10 percent Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  8. D

    Ni muda wa Edward Lowassa kurejesha heshima yake kwa jamii

    List of shame ina watu wangapi? Sasa tuwaongelee wale wengïne akina. nani vile Lowasa amethibitika siyo kwani wasingemkamata Ruge na Sethi wa jana na kumuacha yeye. Kumbuka serikali ina mkono mrefu! Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  9. D

    Geita: Polisi wavunja Kikao cha ndani cha BAVICHA Chato

    Chuki kati ya serikalï na bbdhi ya wananchi (wapinzani) isiruhusiwe kumea, ni hatari sana baadaye itahama kiitikadi miongoni mwa wananchi wenyewe kwa wenyewe na hata vizazi vyetu, Tuamue kwa busara kuliko nguvu, haki huinua Taifa, tutafute amani kwanza, amani ni tunda la haki, tusipotenda haki...
  10. D

    Rais Magufuli yuko sawa kugoma kusomesha wazazi

    Naogopa kuhukumu nisije hukumiwa ! Kama wachungaji na viongozi wa dini wakïsema kuanzia sasa hakuna muumini kutubu kwani mungu hatamsamehe yeyote aliyetenda dhambi kuna kati yetu atakayebaki?? Na je kwenda kwetu nyumba za ibada kwafaa nini? ... Yesu akasema! .... Awe wa kwanza kumtupia jiwe...
  11. D

    Rais Magufuli achana na mbeleko ya CCM utatuletea tena matatizo

    Dawa ni magufuli apitishe katiba ya warioba/wananchi halafu awe mgömbea BINAFSI asiwe ccm wala upinzani, tutamuunga mköno asilîmia mia môja!
  12. D

    ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

    Mh. Magufuli apititishe katiba ya warioba halafu mwaka 2020 awe mgombea binafsi aachane na ccm na wala asiende upinzani, tutamuunga mkono sana!
  13. D

    John Heche: Tumetoka gerezani kumsalimia Lema, yuko imara na mwenye afya, ameniambia neno moja...

    Nauliza Foxy ni jina la mtu? ni kwanini watu wanamshambulga hivyo? Si abadilshe lugha tu kwani great thinker hatumii maneno ya kuwaudhi wenzake
  14. D

    RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    nawahurmia vodacom wateja watawkimbia kwa kutokutunza siri za wateja wao! poleni!
Back
Top Bottom