Hii ni dhahiri kwamba Kama sio ombwe la utaalamu lilitokana na serikali kupitisha maamuzi ya kufuta kodi ya Road License katika bunge lilipopita na TRA mpaka leo kushindwa kutekeleza maagizo hayo ya serikali basi ni hujuma maana kodi isiyotambulika iweje bado iwe kwenye mfumo halali na kuzuia...
Wadau kwa hili naomba tusipepese macho, kuna shida kubwa kwenye mfumo na naamini ni jukumu letu kusaidia mawazo chanya inapobidi.
Kodi iliyolimbikizwa kwenye Road License ni kero kwa wananchi na inatokana uzembe mkubwa wa mamlaka husika hii ya kodi yaani TRA.
Haingii akilini unaendelea...
Upepo wa siasa hauna muda, kwa kipindi kifupi mtu anaweza kuvuma akawa maarufu au akawa marufuku. Lembeli ana historia ya kuwaangusha vigogo na kiukweli wengi hawakumpenda. Sisi watanzania tunaitambua kazi yake na arudi tena mwaka 2020, tutamuelewa. Nachelea kutamka kwamba 2015 alibweteka akijua...
Ajira hazijasimamishwa ila ajira zisizo muhimu ndio zimesimamishwa. Ajira za wakuu wa wilaya, makatibu wa wilaya, wakurugenzi n.k, kisheria inafuta tamko la awali la usitishaji ajira, ila kwa kuwa watanzania hawataki kuhoji basi wanaishia kulalamika. Pelekeni Ikulu maombi yenu ya ajira muhimu...
Tujikumbushe enzi za chama kimoja, kwa tuliojaliwa kupiga kura za urais Enzi zile, ilikuwa ni upande mmoja picha ya mgombea na upande wa pili kivuli. Je? kwenye mkutano huu wa CCM kuna aliyejitokeza kushindana na Magufuli? Kama hamna hilo swali lako hapo juu, jibu unalo mwenyewe.
Mlima kilimanjaro si sehemu rahisi kupanda maana kuna hali ha hewa finyu ukilinganisha na huku mtaani. Yabidi uwe na mazoezi ya kutosha na ikiwezekana upate clearance ya daktari kabla ya kujaribu kupanda. Sina uhakika kama kuwa mwendesha magari maarufu inamaanisha una fitness ya kutosha.
Kumradhi kwa neno wadai, nilitaka kumaanisha 'Wadau'. Nimejaribu kufanya marekebisho ya thread title bila kufanikisha, kwa anayefahamu steps za kuedit title ya thread anisaidie ujuzi huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.