Habari na pia poleni na majukumu! Hii mada niliitafuta kwa muda mrefu sana. Naombeni mnisaidie tatizo langu linalo nitia wazimu na kuishi kwa wasiwasi. Iko hivi uku nilipo kuna taasisi binafsi za kifedha ambazo sio benki na sijui kama zimesajiliwa ila zinatoa huduma za mikopo kwa watumishi kwa...
Naombeni msaada wa kisheria mimi ni mtumishi nilienda kukopa pesa kwenye taasisi moja ya kifedha hizi ndogondogo ambazo wanakupa pesa alafu unawaachia kadi yako ya benki na tulijaza mkataba na kutia saini. Ila nimeshindwa kulipa deni lao kwa wakati ivyo wamenitishia kunishitaki sasa je nifanyaje...
Mimi ni mtumishi wa serikali (mwalimu) mwaka jana mwezi wa tisa nilienda benk ya nmb tawi la ifakara kwa ajili ya kuchukua mkopo ila nikaambiwa kuwa kwa sasa hawawezi kutoa mkopo kwa watumishi wapya.
Ivyo nilikuwa naomba kuuliza je mmesha anza kutoa tena kwa mwaka huu? Asante
Wapendwa heri ya krismas! Mi ni mwalimu idara ya sec natafuta Mwal wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Aje mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi na na mimi niende sehemu yoyote ile katika mkoa wa iringa. No yangu ni 0719221365
Kwa kuwa mimi ni mtumishi wa serikali mi nacho penda kujua ni kuwa je nikiwa na masters ya OUT nitatambulika na nitakuwa sawa na ambao wamesoma vyuo vingine?
Naombeni msaada wenu. Mimi ni mwalimu mwaka huu nilitarajia kwenda kujiendeleza kusoma masters ya education ila mpaka leo hii sijapewa ruhusa wanadai eti nikasome open university.
Sasa swali langu mimi ni kuwa je nikisoma masters katika chuo hiki nitakuwa sawa kiutendaji na waliosoma darasani...
Jamani nimehangaika sana naomba kama kuna mwalimu idara ya sekondari aliyopo mkoa wa iringa v, iringa town, au mafinga naomba tubadilishane yeye aje morogoro wilaya mpya ya malinyi. Tuwasiliane kupitia namba ya 0719221365.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.