Recent content by dealdone

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    EPUKA SANA KUPOKEA ZAWADI YA NGUO KWA MTU AMBAYE YUKO UCHI
  2. D

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya mzigo wa bosi uliharibu maisha yangu

    Huyu alikuwa amelenga kuipa promo mambo ya kulana kisamvu tu hana lolote,kwa maana hadithi imefikia kwenye kulana kisamvu ameisitisha,
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

    Na mimi pia najiuliliza swali hilohilo?au kuna utaratibu mpya gerezani siku hizi ambao sisi hatuujuui
  4. D

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

    Kwani kujenga hoteli ni dhambi?si ndio ajira zenyewe hizo au tatizo liko wapi?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Stella wake Freshly Wamburi ni wa kibaguzi, haufai.

    Hebu tutajie umri wako kwanza ndio tujue jinsi gani tunakusaidia,isije kuwa ni under 20
  6. D

    JamiiForums Tanzania CCM yazindua CCM Digital cards-CDC

    Kwa hiyo tunazipataje?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Na chelsea
  8. D

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Napoli
  9. D

    JamiiForums Tanzania Riwaya: I died to save my President

    Maskini frank,na huko anakoenda taarifa atakazopewa zitamlewesha zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    JamiiForums Tanzania Riwaya: I died to save my President

    Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Riwaya: I died to save my President

    Ngoma inogile,frank ameshakusanya team ya vijana wake na wanaenda kuchukua silaha kwanza,nahisi hizo silaha wanaenda kuzichukulia palepale walipo kina Elvis na team yake yatazuka mapambano,hisia zangu zinazidi kunituma kwamba huo ni usiku mbaya sana kwa frank coz ameshanusa harufu ya mzimu Elvis...
  12. D

  13. D

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    time will tell
  14. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 iliopita majimbo ya upinzani na ya CCM

    usimwamini mwanasiasa
  15. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli ukiyaweza haya nitaanza kujenga imani na wewe

    Kwa akili zako unadhani angekuwa ameshinda shein wangechelewa kumtangaza?Ndio angekuwa Wa kwanza kabla ya JPM
Back
Top Bottom