eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,233
- 16,202
Wakuu nipo hapa kuuliza kati ya majimbo ya upunzani na yale ya ccm ni wabunge gani walifanya kile walichowaahidi wana jimbo wao wakati wa kuomba kura
Je nani alitekeleza ahadi?
Kama huna data ni bora ukae kimya
Je nani alitekeleza ahadi?
Kama huna data ni bora ukae kimya