Mi nina amini mpaka kufanya uamuzi huu haku kurupuka,,, inawezekana alikaa na washauri wake na kuangalia vitu kwa mapana zaidi mpaka kufikia uamuzi huo. Ila pia hajafungwa au kuzuiwa kufanya mabadiliko. Na ikumbukwe pia ugumu katika kutekeleza unaweza kupelekea kumshauri kufanya maboresho na...
Hawa ni watuhumiwa wa upotevu wa makontena (nafikiri wote ni watumishi wa serikali). Huko mahakamani ndio watakapo eleza hizo kontena zilipo, au hata kuwataja wamiliki wa kontena hizo (kama hawajulikani), ingawa PM alikua na ile orodha. Tuiache Mahakama ifanye kazi yake...
Tunashukuru brother Pasco kwa mtazamo wako.
Ila kwangu mimi naona alicho kifanya waziri mkuu ni sahihi kabisa.
Kwanza, ametufanya kujua angalau kwa kiasi fulani uwezo wa viongozi wetu kwenye hayo mashirika ya serikali. Kiongozi unaulizwa kuhusu taarifa muhimu zinazo husu shirika lako, una...
Ni ngumu sana kumfanya rais afikirie kama unavyo fikiri, au aamue kama unavyo amua. Mimi nime muunga mkono kwa kufikiria zaidi juu ya hizo fedha zilizochangwa kwa ajili ya sherehe.
Uzuri huko Muhimbili hata kama vitanda vipo vya kutosha, basi wahusika watajua namna ya kuvipeleka kwenye...
Kazi nzuri...! Ukiachilia mbali kua ni kitega uchumi kwa mfuko husika, Litasaidia kwenye sekta ya utalii pia (hasa wa ndani), na litakua model ya kujifunzia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.