Recent content by De Queensess Najuh

  1. De Queensess Najuh

    Kazi ya Translation

    Hi Palsa hii kazi bado ipo ? Naomba email yako pia tufanye kazi
  2. De Queensess Najuh

    Hivi vitambulisho vya mjasiriamali mdogo, kuna maswali inabidi tujibiwe watanzania!

    Hata nielekezeni jinsi ya kuvipata hivyo vitambulisho na mimi nikachukue
  3. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Sawa nashukuru nitakuja huko
  4. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Safi sana nitakupm mkuu
  5. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    We nae unaroho mbaya kama izraeli kama hukutaka kunijibu umechangia hii thread ya nini , nyie ndio msiopendaga maendeleo ya mwenzenu
  6. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Kweli mkuu ndio maana nikahitaji kama kuna mtu anacontact za watu wa mashambani aniunganishe nao nivifate
  7. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Sihitaji vya sokoni nahitaji direct from shambani kwa wakulima
  8. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Nashukuru kwa kunisaidia kujibu
  9. De Queensess Najuh

    Ninahitaji viungo vya kupikia kutoka shambani

    Habari zenu, nahitaji viungo kama Parsely,Pilipili manga, Mdalasini,Hiliki, karafuu na garlic powder kutoka mashambani, msaada kwa yeyote anaefahamu wakulima ningependa kuchukua direct kutoka huko. Asanteni
Back
Top Bottom