Recent content by de gam

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

    Sharti anizidi urefu kwa angalau mita 2
  2. D

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu Yanga haikufungwa nyumbani na Watunisia

    Wazee wa mihogo mnajifariji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) kukataa kutoa loan balance kwa wakati

    Karibu nikusaidie mkuu nitumie pm namba yako ya kidato cha nne na mwaka uliohitimu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hili la usaili kwa lugha ya Kiswahili litazamwe vema

    Itoshe kusema waziri ameupigwa mwingi acha vijana wajimwage kwa lugha mama [emoji16][emoji16]
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Msalani ni eneo tulivu halipaswi kujadiliwa hapa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Huyu alieleta uzi huu unakuta kuna watu wanamtegemea kabisa sasa najiuliza kama anaetegemewa ana akili kama hii je wategemezi wake watakuaje....tuna safari ndefu saanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mabadiliko kwa uto hayana faida kama mechi tu ya utambulisho wamepigwa Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Binadamu wengi hawana ubinadamu moyoni Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tunapotokea siko tunapoelekea Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wengi wenu humu ni vichwa maji[emoji28][emoji28] Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tamati haifiki tu maana nimesubiri kwa muda mrefu nitangazwe mimi kama mshindi lakini wapi Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

    Wewe ndo unachanganya madesa matajiri bongo wenye ukwasi unaofikia usd 1 billion ni wawili tu mo na rostam tu hao wengine wana range kwenye usd 650 millions...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

    Kama ambavyo huelewi ni vipi mmiliki wa amazon anamzidi utajiri billy gates[emoji23][emoji23][emoji23]
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Lolote linaweza kutokea endapo utalia kwa hisia walau hata maumivu yanaweza kupungua Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Cha kike tumeingia simba jana hadi natamani kulia Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom