Nahitaji kununua batery mpya ya gari N50 naomba ushauri ipi ni batery bora. Matumizi yangu ya gari ni mara chache huwa naiacha bila kuiwasha hata siku 3
Daah! Kuna watu wengi huwa wanasema soda hazifai kwa sababu zina reaction na vitu vya asili ya chuma kama misumali nk. Lakini wanasahau hata maji masafi pia yana reaction, ukiumwagia maji msumali pia unapata kutu. Je utumbo wetu pia unapata kutu kwa kunywa maji. Nakubaliana na athali zingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.