Ukitaka kuona Serikali ya ccm imechoka, tumia huduma zao,. Mf Elimu mbovu, Barabara mbovu, Huduma hospitalini mbovu Ndege ya serikali yakukodi nayo mbovu,nk , By Mkosamali at Bungeni 2015 ,,,,
Sasa Chopa naye imeletwa mbovu ikaua Filikunjombe wetu.. hii mbaya sana