Recent content by dbrane

  1. D

    Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    i like the guy.. he knows tuseme kweli tu he knows
  2. D

    Nauza tv flat screen

    Mgonjwa wewe. TV flat inch 28 laki 8+? u are not serious na inaonekana we ni dalali tu. Usiwafanye watu wageni kwenye city ka flat TVs kabovu hakana USB port laki 8+. U need a doctor (mental one)
  3. D

    Jkt wajtoa nafasi tu.

    Cheki na ofisi ya Mshauri wa mgambo katika wilaya yako ndugu
  4. D

    mwanasheria wa Hlmashauri/ mji/ manispaa

    mimi ni mwajiliwa kama mwanasheria II KATIKA MOJA YA Halmashauri. ombi langu kwa wana jf, kwa yeyote anye fahamu ni wilaya ipi, au halmashauri ipi ambayo ipo Mkoa wa DSM, PWANI, ARUSHA, SHINYANGA, MWANZA AU KAGERA TAFADHARI ANISAIDIE KUNIANGALIZIA WAPI KUNA UPUNGUFU WA WANASHERIA AU KAMA AKUNA...
  5. D

    Job vacancies - mesco t.ltd

    Ngoja ni apply coz nina sifa zote
  6. D

    Nafasi za kazi tanzania port authority.

    dah hizi kazi jamani. haya ngoja nijaribu
  7. D

    BMTL vacanvy

    kazi ni kazi ndugu zangu.... if u dont wanna stay in streets
  8. D

    Natafuta kazi

    try everywhere na usichoke ndugu yangu, mpaka upate
  9. D

    shotlist pspf

    all the best guys
  10. D

    Entitlements za WEO II na watumishi wengine

    SG8 tupo pamoja ndugu yangu. Na wewe ni weo ii nn? Anyway karibu masasi. Na pia kama kuna haki zangu nyingine ambazo nastahili kuzipata ntashukuru kama utanipa mwanga, si unajua tena kisomo hakikomi. Much respect to you
  11. D

    Entitlements za WEO II na watumishi wengine

    mshahara ni 511400 i am one of the selected weo ii. Nimeshajaza fomu za ajira nasubilia kupewa check no. Karibuni masasi wapendwa
  12. D

    Sekretarieti Ya Ajira Na Filamu Ya "The Long Wait",,,,,!

    Kachukueni barua zenu pale maktaba complex wapendwa. Kama ujaiona kwenye posta. Mimi nimeshachukua ya kwangu na kesho j2 naenda kuripoti kwa mwajili masasi. Siku njema na mbalikiweeeeee woooooooooooooooooooooooooote
  13. D

    Sekretarieti Ya Ajira Na Filamu Ya "The Long Wait",,,,,!

    Mimi nimeifuata pale maktaba complex leo mchana usisubilie posta.unarkiwa uripot kwa mwajiri ndani ya siku 14. Mimi ni w.e.o.11
Back
Top Bottom