Recent content by dazzle3

  1. dazzle3

    Lipumba: Inakuaje Syria wanapigana vita lakini wanatuzidi kwa furaha?

    Watu kama nyie mnaovuruga ustawi wa vyama na kusababisha fujo na migogoro ndio mnaofanya idadi ya watu wasio na furaha kuongezeka. Profesa unadhani usaliti uliofanya mwaka 2010 ulikosesha watu wangapi furaha? Haya tulipoanza kusahau angalau kurudisha furaha yetu ukarudi kutuvuruga tena. Kama...
  2. dazzle3

    Eti nimlaumu mama

    Jamaa yangu mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja ya vinywaji baridi sehemu maarufu kama empties (yaani wapakua chupa au creti ambazo zimeisha vinywaji. Kitendo hiki ni moja ya vitengo vyenye lugha mbaya na za kuudhi. Jamaa yangu huyu hajawahi kusikia lugha hizo. Kuna siku alikuwa...
  3. dazzle3

    PICHA: Athari ya mafuriko sehemu mbalimbali Dar es Salaam 13 Machi, 2017

    Kwa hali ilivyo sasa ya mvua zinazoendelea jijini nadhani kuna haja ya serikali kufanya maamuzi magumu kama waliyofanya Dodoma wiki ya jana kwa wote waishio mabondeni. Mvua vinazoendelea kunyesha ni dhahiri kuwa yasipofanyika maamuzi magumu na ya kudumu lazima tutasikia majanga kwa waishio...
  4. dazzle3

    Ushauri: Nimekosea kutuma TZS 500,000 muda wa maongezi badala ya mpesa

    Pole sana mkuu naomba usihangaike kuja vodashop ushauri utakaopewa ni kutafuta mtu wa kumuuzia muda wa maongezi kwa njia ya voda rusha. Ingekuwa umekosea kutuma mpesa hapo sawa lkn hii ni ngumu
  5. dazzle3

    Chuo Kikuu cha Iringa rudisheni 'caution money' za wanafunzi

    Ni wajibu wao mbona wao wanazuia wanafunzi kufanya mitihani hata kama una kadeni kadogo tu? Suala la kurudisha pesa wanalijua ila wanajifanya hamnazo. Hii ni wake up call. 3 weeks then utasikia mziki
  6. dazzle3

    Chuo Kikuu cha Iringa rudisheni 'caution money' za wanafunzi

    Hii ni refundable mkuu ila hawa jamaa wanajitoa ufahamu
  7. dazzle3

    Chuo Kikuu cha Iringa rudisheni 'caution money' za wanafunzi

    Ni takribani miezi mitatu tangu wanafunzi wafanye mahafali lakini hadi leo fedha zao za tahadhari au CAUTION money hamjarudisha. Mliwagomea wanafunzi wenzetu kufanya mitihani na wengine kudefend paper zao kisa hawajamaliza ada na michango mingine hadi wakaahirisha mwaka lakini ninyi mmekaa na...
Back
Top Bottom