dazzle3
Member
- Feb 20, 2017
- 8
- 3
Ni takribani miezi mitatu tangu wanafunzi wafanye mahafali lakini hadi leo fedha zao za tahadhari au CAUTION money hamjarudisha. Mliwagomea wanafunzi wenzetu kufanya mitihani na wengine kudefend paper zao kisa hawajamaliza ada na michango mingine hadi wakaahirisha mwaka lakini ninyi mmekaa na pesa zetu muda wote huo na hatuoni dalili za kuzirudisha. Huu ni utapeli mnaotaka kutuletea na utawagharimu.
Tunatoa wiki 3 muwe mmerudisha pesa zetu zote vinginevyo hatua stahiki za kudai haki yetu zitafuata. Na hatua hizo itakuwa ni pamoja na kulipa riba ya kukaa na pesa zetu muda wote huo. 50,000 kwa kila mwanafunzi si pesa kidogo. Kama nyie mliweza kuwagomea wanafunzi wanaodaiwa student activities sh 18000 basi na sisi tunataka iliyo haki yetu.
Cc Mkuu wa Chuo
DVCAA
Dean
Wanafunzi wote waliomaliza 2016