Recent content by daza steven

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kama kuna sehemu tulikosea kama taifa; tunaongozwa na viongozi ambao hawategemei kura zetu kuwa viongozi

    Au unaegemea kwa NApe kuwa kuna kura harali, nusu harali na haramu, na zote zinatumika. Tulisha mpumzisha yule na umbea wake.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Ni kweli wengi wanajua kuwa Gwajima anaakili fyatu, lakini kwa sasa anahitajika kujibiwa na si haya uliyoeleza maana ni kama kamwaga mboga, jibu kitu au useme amezusha yote aliyoseme au ni uongo mtupu na kamfano kadogo hapo utakuwa umetusaidia na wengine.
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Jamani mbona juzi tu tena hao viongozi wa dini walikuwa CDM na tuliwasifu kwa nyimbo na mapambio inamaana mmesahau kwa muda mfupi hivi, mimi siamini hapa kuna jambo linahitaji kujadiliwa. Au kwa sababu leo wako na JPM tunaanza kuwasema, hapana mtakuwa Mafalisayo wanafiki, tulizeni vichwa mtaujua...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

    Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haina uwezo wa kumuondoa mgombea yeyote kwa sababu ya kutoa rushwa, labda iwe kwa sababu nyingine

    Nakumbuka mlianza nguvu ya soda nguvu ya soda mara nilikuwa nasikia mfumo mfumo leo hii sisikii chochote, nadhani muda utaongea kama ulivyoongea kwa yaliyopita. Tuliposema CCM na Tanzania mpya utaelewa tu subiri acha ku.. Jiandaeni kwa maumivu makali ambayo hamjawai kuyapata maana baada ya JPM...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

    Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili. Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Gwajima na siasa za Ubunge

    Lakini si kuna utaratibu wa kufuta kauli
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naupenda sana Mfumo wa Vyama Vingi lakini unatugawa sana Waafrika kuna haja ya kuchukua tahadhari kwani tutapoteza kabisa Umoja wa Kitaifa

    Mapokezi ya Tundu Lisu popote pale duniani usinge weza kuyaficha kwani Lissu si kushangaza umma bali tendo lile la kushambuliwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi 16 lilikuwa baya na lakulaaniwa na watu wote Je, ilikuwa sahihi kufanya maandamano wakati Mwili wa hayati Rais mstaafu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

    Mimi sijaona unyonge wowote hapo
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili mwaka huu CCM inatoka madarakani

    Yaani hata kuchangia mada yako ni ngumu kwani hata hao Chadema hawakuelewi wanaogopa kusema hayo maneno na nadhani uliposema upo Dodoma au upo Milembe hapo dodoma. Najua madaktari watafanya kazi kukusaidia utapona tu ndugu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani, hamuoni aibu kila kitu ubalozi wa Marekani, kikitokea kitu mnakimbilia kusema tutashtaki Marekani? Ni ushamba

    Zamani wakati wa ujinga wengi tulikuwa hatujui kuhusu hiyo Marekani tulimezeshwa kila kitu cha upande 1 wa shilingi. lakini inatia aibu kijana ambaye wazazi wake wamempeleka shule lakini leo bado yupo katika zama za ujinga bado anaona kama Marekani ndiyo kimbilio wakati ni nchi hatari hasa kwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Du. ndugu tena unaonekana macho yamekutoka ile mbaya, kweli: Kwa kipindi cha miaka 20 CCM imekuwa na wenyeviti 3 yaani Mzee Mkapa, Mzee Kikwete na sasa Magufuli lakini kwa miaka zaidi ya ishirini ni Freeman (mtu huru) pekee yeye ndiyo yupo ofisini. Pia kwa kukusaidia tu nilitaka nikukumbushe...
Back
Top Bottom