Recent content by dayah2012

  1. D

    Ujasiriamali: Kinachoua biashara sio mtaji

    kuna watu wakianzisha biashara wanashindwa kuisimamia kiasi kwamba kila biashara inapohitaji huduma ya kifedha basi pesa hiyo hutoka mfukoni mwake.... na pia tahadhari kwa wanaodhani inabidi wakope mkopo ndyo wafanye biashara kwanza kaa fikiria kuwa ukikopa utafanya nini, itakuingizia kiasi gani...
  2. D

    Unafikiri omba omba anafaa kusaidiwa?

    Unahisi kumsaidia omba omba ndyo kutatua tatizo lake?? au unahisi nini kifanyike kumsaidia... Sometimes omba omba wana akili kubwa kuliko msaidiaji (mtoaji) nlishawahi kumkuta omba omba anadeposit an amount of money... so inamaanisha ile ndyo ajira yake... unamuonaje huyu omba omba? clever???
  3. D

    pata vitenge vya congo kwa bei nafuu

    40,000/= ni pisi 3, jumla tunaongea
  4. D

    Ujasiriamali: Kinachoua biashara sio mtaji

    Kweli kabisa inabidi uwe na fikra 'idea' kuhusu nini wahitaji fanya, na lazma uwe unauelewa mzuri na unachotaka kufanya kama huna chunguza... nimeshawahi kujaribu kufanya biashara bila mtaji na nkaona inawezekana. nlichokuwa nacho ni idea tu.
  5. D

    pata vitenge vya congo kwa bei nafuu

    unamaanisha nn by bure
Back
Top Bottom