Recent content by Day 1 gongs

  1. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Barua ya Nchimbi ilifichwa

    Kumbe ipo hivyo,weka hiyo barua hapa ili usionekane kiazi kitamu.
  2. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bashite ndie mrithi wa Nchimbi

    No, Kijana wa madini Toka Bukombe
  3. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bashite ndie mrithi wa Nchimbi

    Kuna mtu alisogezwa karibu katika matukio ya hivi karibuni bila sababu licha ya kutemwa kwenye mikeka ya PM uenda ndiye atakula hilo shavu maana anaweza tumika vyovyote vile.
  4. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Heche: Napigwa vita kwa sababu nimekataa siasa za udalali

    Hiyo ndiyo kazi yake aache malalamiko na kutafuta huruma ya wananchi. Kama yeye anawasema watu why nao wasimseme. Ajishikilie.
  5. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania AMBUZI: Kauli ya Ndlozi na Msimamo wa Botswana Dhidi ya Rais Samia SADC: Je, Klabu ya Kulindana Inavunjika?

    Huyo Dr sijui nanii aache uzwazwa na kutafuta fahamika zaidi kwa mgongo wa Tz, atunishiane misuli na ANC na kama ni mtetezi ayaoni manyanyaso ya nchi yake kwa wageni(Waafrica) hadi kupeleke vifo.
  6. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    "Mnatumia mbinu ipi kubaini imani za wanaoshiriki hiyo mikutano au huwa mnawasajili waliohudhuria kwa dini zao?" ☝️ umeona nafasi yako sasa.
  7. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Muonekano tu unatosha, kwani huko ulipo ndiyo mnasajili kwa majina?.
  8. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mawasiliano na Taasisi Serikali zihakikishe namba za Simu, Emails walizoziweka kwa tovuti zao zinafanya kazi, hii ni aibu!

    Wamejipata hawataki kelele zako/zenu kupitia simu au mail, subiri muda wenu mje lipiza kama hayo hayo.
  9. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Hudhuria mikutano yao kisha ujionee idadi ya Waislamu huko Chadema.
  10. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani ni habari za kutunga

    Mlengo wa mleta mada ni upande wa upinzani licha ya kuifanya kuwa habari huru.
  11. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani ni habari za kutunga

    Kabisa, ingawa wapo na kiu ya kuifikia lakini hakuna njia mbadala. Mngoni na Mr Guys Guys hawana mizizi ya kutisha ndani ya CCM, hivi vyama vimekuwa kama vikoba vya urithi na machawa pro maxx wale wadondokea humo ndiyo buyu la asali linafika miguuni.(si CCM, CDM , ACT n.k) Ukiwasikiliza wana...
  12. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani ni habari za kutunga

    Hapa ndipo tunasema wapinzani wa nchi hawana Agenda ya kudumu kuleta mabadiliko ya hii nchi si kwa mawazo ya kutengenezewa kama hayo, Hakuna ugomvi wala hizo drama kati ya hao uliowataja zaidi ya kuwapumbaza tu. Mngoni anajua aliye muweka hapo na hiyo bila shaka ni kete ya Mzee wa Msoga ili...
  13. Day 1 gongs

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Dar: Katiba mpya sio suluhisho la matatizo ya vijana, uwajibikaji

    Hizi akili za kizee zilipaswa kukaa pembeni zinadumaza fikra za chama, sasa chama kinataka katiba mpya ingawa kwa mgongo wa chupa lakini hawa nao wanazidi kujilamba kwa wakubwa. Katiba ndiyo muongozo wa nchi hivyo ikiletwa yenye mustakabali wa Tanzania iliyo bora uenda ikabadilisha kasi ya...
Back
Top Bottom