Recent content by dawambili

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna kizuizi?

    Wakati wa uchaguzi wa wenyeviti wa Serikali za mitaa akitunga shairi hili lifuatalo na Sasa anasema hajaona kizuizi. HODARI KAENGULIWA Nalipanga kudamka,siku itapowadia Foleni kuziepuka,kwani huleta udhia Kura npige haraka,bila kuzua ghasia Hodari kaenguliwa,kura yangu ni hapana Hamasa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna kizuizi?

    Hili ni Shairi la Mshairi Bora Wa Taifa Mwaka 2025 na mshindi wa Kwanza Wa Tuzo Ya Taifa Ya Uandishi Bunifu Bwana Daruweshi Mkulu Wanyika anasema hajaona kizuizi kushiriki uchaguzi . Je ni kweli hakuna kizuizi? SIJAONA KIZUIZI N'nazitambua haki, na mazuri maamuzi Kuchaguliwa sitaki, waso bora...
  3. D

    JamiiForums Tanzania KAMA UNAWEZA KUTUNGA MASHAIRI HII INAKUHUSU.

    Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Uandishi bunifu(TuzoNyerere) 2025 nyanja ya Ushairi Sheikh Hussein Kondo Abdallah Almaarufu Daruweshi Mkulu Wanyika atangaza neema kwa watunzi. Ameweka chapisho lifuatalo katika ukurasa wake wa Facebook; TANGAZO LA CHALENJI KUBWA YA WATUNZI. Nichukue...
  4. D

    JamiiForums Tanzania NANI WAKUWAAMINI CHADEMA KWA SASA?

    Kanuni ya maisha matendo huzingatiwa kuliko maneno ,mfano hai mkataza watu ulevi akiwa ni mlevi hakuna atakaye msikiliza wala kumuelewa. Kilipofikia chama cha CHADEMA makundi na uhalisia wa mambo ni Mtanzania gani atakayekubali ama kuamini kama kweli CHADEMA ni wanademokrasia na sio wahubiri tu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

    Ndio washahribika sasa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

    Ndio umeongea nini?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

    Hongera pengine hata kwako Huwa unafika Kwa mwaka mara moja.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

    Mzee tunawakilisha majority ya wabongo mambo ya table manners hayajulikani Imezoeleka pakulia ni ukumbini na msosi huiva saa mbili.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Azam TV badilisheni muda wa kuonesha Tamthilia ya ECILIA (SINOS DEJAN)

    Nimekuelewa baadhi ya watu wanaishi mifumo ya ajabu duniani.
Back
Top Bottom