Bila shaka uliishia Dar au mji mwingine mkubwa kama Mza na Arusha,siku nyingine ukija jaribu kutembelea vijijin especially vijiji vya singida,kondoa,rufiji e.t.c,huko kuna shule hazna walm,hakuna hospital,hakuna huduma ya maj saf,hakuna barabara,umeme umepita juu ya paa za nyas wanaonaga waya tu...