Recent content by DAVINC TOON

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    INAMAANA HAPA UKIWEKA MITANO TENA (5) TZ aka MALAWI INAKUWA NCHI YA KWANZA TAJIRI DUNIANI NA MBINGUNI Na WAARABU WATARUDI KWAO KWASABABU TUTAKUWA HATUHITAJI WAWEKEZAJI TENA
  2. D

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    NO REFORM
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa mwaka huu wanatuonaje Watanzania? Mbinu wanazotumia kucheza na akili zetu ni za kizamani sana!

    WAMEGAWA FONEX ZILOZO TAMBA KARNE YA ISHIRINI TULIKUA TUNABEBEA MAJI LEO TUPO KARNE YA 21 KITEKNOLOJIA. ILA UMASKINI NDO UNATUMALIZA NJAAA
  4. D

    JamiiForums Tanzania LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi

    HUYU K* ANAJUONAGA KAMA MUNGU HAPA NCHINI NA SIJUI WANAMKUBALI NN NA HANA HADHI YA KUONGOZA BINADAMU HAYA NDO MATOKEO YA SIASA ZA DRAMA.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    WE JAMAA ACHA KUTUCHOTA INAMAANA WANAFUNZI WA SHULE ZA BORDING {GIRLS SCHOOLS) UNATAKA UTUAMINISHE KUWA TAYARI WANA MASHIMO MAKUBWA?????????????? MAANA MICHEZO KAMA HIYO MARA NYINGI HUANZIA HUKO.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    CV yake yote GWAJIMA alishaitoa kipindi cha vyeti feki. Ila chuo alisoma ushirika aka DISCO akarudia kombi ya KIKE yaani COMMUNITY DEVELOPMENT ndo akatoboa kwa ShidaShida. HII NCHI UKISHAJULIKANA NA WAKUBWA UTABEBWA TUU HIVYOHIVYO HATA KAMA NI ZUZU
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Baraza La Maaskofu TEC

    Huu ni upotoshaji wa BBC. Kanisa katoliki halijabadili kitu chochote kwenye ufungaji wa ndoa Ndoa ya katoliki imeshikilia pale pale kwamba Mwanaume atamuacha baba yake na mama yake Naye wataambatana na MKEWE nao watakua mwili mmoja. MWANZO 2:24, MATHAYO 19:5 Kumbuken Huu ni upotoshaji wa BBC...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    HAWA NI WALE WALIOPITA KWA KURA ZA WIZI ENZ ZA MWENDA ZAKE ILI BUNGE LIWE KIJANI MATOKEO YAKE NDO HAYA SASA SIO CHAGUO LA WANANCHI NA HAPA NDO INATAKIWA CCM WAJIFUNZE.
  9. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

    TUMEPIGWA NA KITU KIZITO SANA. NA HAWA WALIOMCHAGUA HAWAONI HILI??????????
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine Tena Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na umoja wa kitaifa

    TEMBEA MTAANI UJIONEE MAANA HUKU UTAKUTANA NA WENGI WANAOJIWEZA
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine Tena Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na umoja wa kitaifa

    Yaani kweli watanzania tunavyo teseka na maisha magumu, KODI kilamahali mpaka kwenye utilities[luku] na umeme wa nusu siku, ukosefu wa ajira, ukandamizaji na mengineyo. KWEL UNAANDIKA KWA KUJIONA UPOSAWA NA UME POST KITU CHA MAANAAAAA KATUBU NDUGU YANGU KAMA UNALELEA TUMBO LAKO KWA KUPOST VITU...
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuwa na mahusiano na wanawake wasioomba hela kabisa

    Hahahahahahaaaa Kweli MWANANGU. MASHANGAZ Hayasumbui Na Ukiwa naye chocho saa nyingine anajishtukia ye ndo analipa Bill.
  13. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina mtu mwenye uwezo kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura uchaguzi ujao

    UNAAKILI SANA DADA KUNA WIMBO MPYA UNASEMA wanatuona nyani USIACHE KUUSIKILIZA NI DEDICATION TOSHA
  14. D

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    MBONA KAMA WAARABU WAMESHA SAINI HUU MKATABA AU SIONI VIZURI
Back
Top Bottom