Mara chache hutokea kuwa jino linauma au upande fulani wa taya unauma lakin jino hasa linalosumbua halionekani
Lakin ulivosema mstari mweus unaonekana that means yawezekana tatizo lilianzia hapo
Na pia hutokea muda mwingine maumivu yanahama "radiation of pain"
Unawexa kuona baada ya uchunguzi...
Ukitazama kwa undan saana kwa ss wa kristo Tunaamini kuna #nguvu za giza hapo unaweza ukaona daktari unafanya vipimo vyako kwa usahihi kabisa lakin mwishon yanatokea
Kwan hamjaona ile ya mtu kuzikwa halafu kesho anaonekana mtaani kwan mzikaji hakuzika vizurii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.