Anasema namuumiza wakati duuduu

Anasema namuumiza wakati duuduu

Mm sio lanyoni mkuu, ntake radhi

Korianga kweli kweli sio magumashi

Unapajua olpuru ww
Huwezi kuwa koringa ww acha kujibaraguza, koringa wengi washaoa sasa ww ndio kwanzaa hujapata papuchi kwa kipindi chote hicho, hata ile ya kuvizia usiku? you cant b serious.
 
Wapendwa napenda kuweka wazi kuwa Mimi si mwenyeji sana Wa Yale mambo ya wakubwa.

Siku chache zilizopita nilipata bahati ya mtende, mtoto mkali akaja pale Getto na mchezo ukawa Wa 6*6.

Tatizo kijana wenu nilikuwa na ukame Wa karibu miaka 22 hivi. Nadhani kama ni shamba lilikuwa kame haswaaaaa. Pata picha linapopata Maji baada ya ukame Wa muda mrefu huwa inakuwaje!

Kijana wenu kwa saa tatu za mwanzo sikufanikiwa kupata goli hata la mkono.

Mtoto analalamika namuumiza Ila uzoefu tatizo. Naombeni msaada wenu Wa mawazo nakosa wapi ???
Bao la mkono umeshindwa? Mtafute mh Nape anajua kuyapiga baO la mkono vizuri
 
Nakuhakikishia hawa watu wanojisifia kujua Mapenzi sijui masaa matatu hakuna lolote uhuni mtupu, we mtu ukame wa miaka 22 ufanye mpenzi masaa matatu bila goli ?
 
Moira wenyewe dakika 90 Na watu wanafungana mpaka goli sita uwe ww masaa matatu bila goli ?
 
Wapendwa napenda kuweka wazi kuwa Mimi si mwenyeji sana Wa Yale mambo ya wakubwa.

Siku chache zilizopita nilipata bahati ya mtende, mtoto mkali akaja pale Getto na mchezo ukawa Wa 6*6.

Tatizo kijana wenu nilikuwa na ukame Wa karibu miaka 22 hivi. Nadhani kama ni shamba lilikuwa kame haswaaaaa. Pata picha linapopata Maji baada ya ukame Wa muda mrefu huwa inakuwaje!

Kijana wenu kwa saa tatu za mwanzo sikufanikiwa kupata goli hata la mkono.

Mtoto analalamika namuumiza Ila uzoefu tatizo. Naombeni msaada wenu Wa mawazo nakosa wapi ???
News Alert???!! Duuuh nchi ya viwanda tutaifikia kweli kwa wanafunzi kama nyie vyuoni?
 
Nakuhakikishia hawa watu wanojisifia kujua Mapenzi sijui masaa matatu hakuna lolote uhuni mtupu, we mtu ukame wa miaka 22 ufanye mpenzi masaa matatu bila goli ?
Ukame wa miaka 22??? Ulikuwa unasomea upadri????
 
Tatizo umezoea magoli ya mkono so goli la kawaida huwezi kabisa
 
Hii bodi ya mikopo imeleta majanga sana huku mtaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom