Hivi kuna ushirikiano wa vyama ambao hautakuwa na makubaliano ya kugawana nafasi za uongozi??? Lazima terms za ushirikiano ziwekwe bayana ili msije mkageukana baadae ati...! Uyo jamaa wasimkubalie hata akiomba maana anaonekana kabisa ni mbinafsi..
Izo figure sio realistic sema kuna hela inataka kupigwa hapo. Maana milioni 25 kwa miezi miwili, kwa mwezi ametumia mil 12.5 kwa maana alitumia zaidi ya laki nne kwa siku. Unaongea madudu gani kwenye simu hadi utumie laki nne kwa siku?
Nini kifanyike? Viongozi wasifanyike kila kitu kwa misukumo ya kisiasa. Mchakato mzima wa kuandikwa katiba uligubikwa na matakwa ya kisiasa hasa kwa chama tawala. Mbinu nyingi za kilaghai zimetumika ili kuhalalisha yale wanayoyataka watawala badala ya kufuata maoni ya wananchi. Rasimu ya mzee...
Ni ukweli usiopingika mwaka huu chama cha Mapinduzi kitakuwa na wakati mgumu wa kumpata mgombea wake wa Urais ambaye ataungwa mkono na makundi yote ndani ya chama hicho.
Ukiachilia mbali 'battle' kati ya mgombea na mgombea, iko nyingine kati ya Uzanzibari na Utanganyika(sipendi neno Utanzania...
CHADEMA ni mojawapo wa hao member wa UKAWA wanaodaiwa kugawana majimbo. Hapa wametoa taarifa kwa upande wao. Vyama vingine pia vinavyounda UKAWA vinaweza kutoa taarifa zao. Mwaka huu lazima hayo yanayo gonga gonga 'chipu' yatoke....
Nyie jipeni matumaini tu chama kilichojifia lakini bado kinashinda chaguzi zote za marudio Serikali za mitaa! Hata Gadafi alipokuwa anakaribia kupinduliwa alikuwa akisema hivyo hivyo akiwafananisha wapinzani wake na panya, lakini amekuja kustuka hawa hapa miguuni..! ikawa too late. Badala...
Hukuielewa ripoti ya PAC kama uliisoma.Kuna pesa ilikuwa inalipwa IPTL moja kwa moja. Hivyo hizo bil 306 toa izo bil 202 ujue hicho kiasi kilichokuwa kimelipwa IPTL moja kwa moja.
Watu wa aina yako ndio enzi mnasoma mlikuwa mnakesha usiku kucha halafu bado mnafeli. Huwezi kuwa unafanya kazi mda wote kama roboti,na pia we unajua Mhandisi ni wa ujenzi tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.