Recent content by DAVID ROUBEN

  1. D

    Tatizo la umeme: Jipu ni TANESCO au Wizara ya Nishati na Madini?

    Tanesco sio jipu embu tifikilie kwanza sio mtu unakuja nakuanza kuzungumzia mambo in a negative mind set.
  2. D

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa umeme kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kinondoni Kaskazini

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa line ya Packers imezimwa saa 3 asubuhi hii leo February 12, 2016 kwa ajili ya matengenezo kwenye njia hiyo. Maeneo ambayo yanakosa umeme...
  3. D

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa umeme Iringa mjini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Iringa (mjini) kuwa kuna hitilafu imetokea kwenye Kituo cha Kusambaza umeme cha Sabasaba usiku huu Jumatano Februari 10,2016 hivyo kusababisha eneo lote la Iringa mjini kukosa umeme. Mafundi wa Karakana ya Umeme tayari...
  4. D

    TANESCO: Taarifa ya kukatika umeme kwa baadhi ya maeneo katika Wilaya ya Manyoni

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO KATIKA WILAYA YA MANYONI. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa Wilaya ya Manyoni kuwa kutokana na mvua kali iliyoambatana na upepo iliyonyesha jana jioni Desemba 18, 2015, imesababisha kuanguka kwa nguzo kumi...
  5. D

    TANESCO: Taarifa kwa umma

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME MAENEO KANSAY, ENDAMARARIEK NA MAHAHAHA MKOANI ARUSHA. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa mkoa wa Arusha kuwa kutokana na mvua kali iliyoambatana na upepo iliyonyesha leo mchana Desemba 17, 2015, imesababisha kuanguka kwa nguzo...
  6. D

    Tariffs za TANESCO zipoje?

    Nashukuru sana kwa ufafanuzi mzur kuhusiana na hizo Tarrifs.
  7. D

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Sasa wananchi wa tz nn mnahitaji mtu afanye nn coz mtu akiwajibika mnaanza oooh kajishtykia ahhahahha yaaan watz wanashida sana
  8. D

    TANESCO yawasimamisha kazi Maofisa 7 kutokana na makosa mbalimbali, wizi na ubadhilifu

    Watu mnapenda kuongea ili mradi tu na nyie muonekane kwenye social network mmeongea kama huna la kuongea bora ukae kimya. Mtu amefanya kitu kwaajili ya maslahi ya ummma mnachoooongaa sasa mlitaka afanyaje?????
  9. D

    Tanesco

    Akizungumza leo Dec 6, 2015 mbele ya waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba alisema, Ukiacha kero zinazosababisha na Miundombinu TANESCO inachukua hatua madhubuti za kuwaadhibisha wafanyakazi wake wanaotoa huduma mbaya na kuwa kero kwa wateja baadhi ya kero...
  10. D

    Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO): Ufafanuzi wa taarifa kuwa hatununui nguzo nchini bali...

    Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na mijadala kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuwa TANESCO haitumii nguzo za umeme zinazozalishwa hapa nchini bali inaagiza nguzo hizo kutoka nchini Afrika Kusini. Taarifa hizo zilidai kuwa Shirika...
  11. D

    Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO): Ufafanuzi wa taarifa kuwa hatununui nguzo nchini bali...

    Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na mijadala kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuwa TANESCO haitumii nguzo za umeme zinazozalishwa hapa nchini bali inaagiza nguzo hizo kutoka nchini Afrika Kusini. Taarifa hizo zilidai kuwa Shirika...
  12. D

    Injinia Mramba wa TANESCO, ajira yako imeshikiliwa na uzi mwembamba ajabu!

    Huyo anaye andika hizo post anajitakia nn
  13. D

    Nina wasiwasi na ajira ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO

    Unajua mtu akikosa kazi ya kufanya ndio madhara yake hayo bila shaka mtoa mada ni jobles
  14. D

    Katizo la umeme mkoa wa Pwani

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:- TAREHE: 28/11/2015, Jumamosi na 29/112015, Jumapili SAA: 3:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni SABABU: Matengenezo makubwa kwenye kituo cha kupoozea na...
Back
Top Bottom