SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa line ya umeme MECCO Kunduchi kwa ajili ya matengenezo ya kubadili nguzo zilizooza na kukata matawi ya miti hivyo maeneo ambayo yanakosa umeme ni Kunduchi machimbo, Salasala, Tegeta kwa Ndevu, Tegeta Msichoke na Kinzudi.
Umeme utarudi saa kumi jioni baada ya matengenezo hayo.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu.