DAVID ROUBEN
Member
- May 25, 2015
- 91
- 4
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Iringa (mjini) kuwa kuna hitilafu imetokea kwenye Kituo cha Kusambaza umeme cha Sabasaba usiku huu Jumatano Februari 10,2016 hivyo kusababisha eneo lote la Iringa mjini kukosa umeme.
Mafundi wa Karakana ya Umeme tayari wameenda kushughulikia tatizo hilo.
Umeme utarejea baada ya mafundi kurekebisha tatizo hilo.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
Mafundi wa Karakana ya Umeme tayari wameenda kushughulikia tatizo hilo.
Umeme utarejea baada ya mafundi kurekebisha tatizo hilo.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu