Recent content by David Mtiba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kweli Mimi ni mshindi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Soga za mbinguni na motoni, visakale kuhusu uumbaji, hekaya za Immanuel, mtume Mo, na manabii kadha wa kadha. Tarihi mbalimbali zinazoelezea uchawi wa yesu na baba yake plus watu wao wa karibu. Vyote havina uhalisia na ukihoji sana unaambiwa acha utakufuru. Let's be serious guys, it doesn't...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Tunapigwa sana😂
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nafuatilia wananchi wanaotoa maoni Dira ya Maendeleo, najiuliza ni nani aliyeturoga Watanzania?

    Naona una uchungu mwingi sana ndugu😂
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Kuna watu wanajiona ndugu wa Yesu mnazaleti na wengine wanajiona ni ndugu wa damu wa Mtume Mo. Halafu kila mtu kati yao anaona kuwa kundi lake ndio wana hatimiliki ya Mungu. Hapa walituweza kwa kweli
  6. D

    JamiiForums Tanzania Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

    Koroga uji wa cement nusu lita unywe halafu utanishukuru baadaye
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hasara za kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea

    “Kisasi ni haki na wajibu wangu” ✍️
  8. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Tanzania ujinga ni mwingi. Ila ujinga mkubwa naona upo kwa wasomi wa nchi hii. Yani wasomi tumekuwa walamba viatu vya makada wa sisiemu na viongozi wa nchi na tumesahau jukumu letu la kuleta mabadiliko katika nyanja mbalimbali ili kuchochea maendeleo nchini. Ugonjwa wa uchawa umeenea kwa kasi...
Back
Top Bottom