Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

Aaah haya maisha bwana mi yanaelekea kunishinda kabisa. 25 yrs bila happiness na bado kuna kiza!

Muda wa kujaribu upande wa pili sasa!

Hivi ni sumu gani inaua bila mateso na kwa uhakika?
Leo unajiondoa uhai kwa sumu. Je wajua uendako? Kama maisha magumu utatumia nini wakati hutakuwa na mwili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom