Recent content by David M Mrope

  1. David M Mrope

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Oya hii picha huyo aliyevaa shati la njano kafariki jana. Ilipigwa 2018. Vipi kuhusu huyo aliyevaa koti (sweta) ni mamlaka au ni nin.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. David M Mrope

    Chemistry and Biology Teacher

    Nipo Manyara kwa sasa mkuu
  3. David M Mrope

    Chemistry and Biology Teacher

    I am looking for teaching job in Chemistry & Biology subjects. I've 2 years teaching experience (Both O level and A level).
  4. David M Mrope

    Natafuta Kazi ya Ualimu wa Masomo ya Chemistry & Biology

    Kweli kabisa. Maisha ni popote. Ukiona sehemu watu wanaishi ujue uhai upo hapo. Japo itakuchukua mda kuzoea lakini utazoea. Kitu kikubwa ni mahusiano mazuri na watu wa pale.
  5. David M Mrope

    Natafuta Kazi ya Ualimu wa Masomo ya Chemistry & Biology

    Haha wakati wa kutafuta usijiwekee mipaka. Kubali kwenda sehem yeyote ikitokea umeshindwa basi kuna kitu utajifunza. Kikubwa usitoke kwenye career yako tu. Nafikiri kama kijana ninasafari ndefu ya kujifunza na kupata uzoefu wa sehemu mbalimbali ili kuongeza value yangu katika career yangu...
  6. David M Mrope

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Hujaelewa wewe mazingaombwe yatokee wapi. Sisi home Nachingwea Lindi huko alafu mwamposa yupo dar
  7. David M Mrope

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Mimi nilikua simwamini ila sku moja kwa macho yangu nimeona jogoo anapupa na kufa baada ya kumwagiiwa maji ya bombani ambayo aliombea usiku. Alafu haijapita siku mbili nikaona tena kwa jirani kunguru alitua dukani kamwagiwa kafa na nilimtoa mwenyewe. Haya mambo bora tukae kimya tuu.
  8. David M Mrope

    Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

    HAWEZI KUPATA. DEGREE lazima uwe na principal passes 2 yaani D mbili. Hata angekua na A moja na zingine E hawezi pata.
Back
Top Bottom