Recent content by david January

  1. D

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Hawezi Shinda Urais Marekani Nov 2016

    Namkubari sana Donald Trump naamin ataibuka mshindi wa kiti cha urais
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wazalendo tuanndamane kwenda kwa dr.slaa.

    Nikiwa kama mtanzania mpenda mabadiliko ya kisiasa ninaamini katika umoja ni nguvu ninaamini Dr Slaa ndiye mwanasiasa wa upinzani mwenye ushawishi mkubwa binafsi namkubali sana, na kama mnavyojua michakato ya kuelekea magogoni imepamba moto, sasa tuko kwenye safari ya matumaini ya kushika dola...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hatimaye jimbo la buhigwe waamua wamemchagua ndugu BUDIDA Kupeperusha bendera ya Chadema,bwana BUDIDA a.k.a jembe ameshinda kwa kura 170 wakati mshindani wake wa karibu ndugu James Daudi amepata kura 106.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Hakuna siku ambayo itanifanya niichukie chadema nikiwa miongoni mwa wanachadema wazalendo kama Siku nitakayosikia Kuwa bwana Lowassa ni mwanachama mwandamizi wa chama chetu kinachojipambanua kwa kupinga ufisadi kama chama kitampokea lowassa Mimi lasmi nitaachana na siasa kwa sababu chama...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mkishindwa kumchagua BUDIDA mkatuletea huyo James kwa sababu tu ya fedha Zane make hilo jimbo mtakuwa mmeliuza
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ukawa mnatuvunja moyo

    Jana tulitarajia kutangaziwa jina la mgombea urais wa ukawa, jambo ambalo tulilisubiri kwa hamu na mda wote tangu asubuhi mpaka usiku tulijazwa matumain feki kwamba mgombea urais angetangazwa pamoja na mgao wamajimbo matokeo take zikatoka taarifa usiku kuwa mgombea urais atatangazwa baada ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wahangaika kuuzima moto wa Zitto Mbeya

    ACT ni genge kama magenge mengine ya wahuni
  8. D

    JamiiForums Tanzania NEC watishia kusitisha zoezi Arusha na Kilimanjaro

    Huyo mzee anayaogoma mabadi liko
  9. D

    JamiiForums Tanzania Video: Zitto Kabwe azomewa Tunduma, aitwa Yuda na Msaliti, akiri kuonja supu ya jiwe Tunduma

    msalti kaonja supu ya ndimu sasa tukutane oktoba jumbo kigoma mjini asahau kabisa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Video: Zitto Kabwe azomewa Tunduma, aitwa Yuda na Msaliti, akiri kuonja supu ya jiwe Tunduma

    Dhambi ya usalti inamtafuna, kashakata tamaa anatamani kurudi CHADEMA
  11. D

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    Frola kashavua gamba na kuvaa gwanda kwan tatizo hapo lipi kwa yeye kuimba kwenye mkutano wa Dr Slaa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo, wafanya mkutano mkubwa Mbeya Mjini leo

    Bora ungesema ACT wasaka tonge kusaka tonge Leo Mbeya mjini
  13. D

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano mkubwa wa Dr. Wilbroad Slaa Tanganyika Packers DSM

    ni mtetezi wa wanyonge
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr. Slaa dhidi ya CCM yaanza kudhihirika wazi?

    Mwaka huu lazima watasanda wenyewe
Back
Top Bottom