ACT-Wazalendo, wafanya mkutano mkubwa Mbeya Mjini leo

Dkt Kilembwe

Senior Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
154
Reaction score
102
Chama cha ACT-WAZALENDO kinatarajiwa kufanya Mkutano Mkubwa Leo Mjini Mbeya,Viongozi wa Kitaifa wakiongozwa na Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe,Mwenyekiti wa Taifa Ndugu Mama Anna Mghwira,Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Shabani Mambo na Katibu Mkuu Samson Mwigamba na afande Sele pia atakuwepo.

Wananchi wa Mbeya tayari wameshaanza kufurika ktk Viwanja vya Mkutano hapa..Mkutano unafanyika hapa Viwanja vya Rwandanzovye.

Nitaendelea kuwaletea kila kinachojiri ktk Viwanja hivi.
 
Kumekucha tana Wanaukumbi pro-Chadema mchakamchaka umeanza tena karibuni.
 
Kaka mcubic hebu leta update mkuu wangu. Agizo la Chama Tawala liko Mbeya kweli?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mzito Kabwela bahati mbaya sana sipo mbeya....ila mleta maada atatupa updates...kwa sasa wacha nifuatilie mkutano wa wanawake, wachungaji na mapadri....huku nikiburudika na bella kupozea swaumu.
 
Hahahaa angalia mkuu usiokoke. Bado ACT wanakuhitaji. Naelewa mkuu mcubic wewe ndo kampeni meneja wa Sele mibangi
 
Last edited by a moderator:
Heko SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAna wapenda demokrasia! ACT kiwango cha kuigwa nchini.
 
Chama cha ACT-WAZALENDO kinatarajiwa kufanya Mkutano Mkubwa Leo Mjini Mbeya,Viongozi wa Kitaifa wakiongozwa na Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe,Mwenyekiti wa Taifa Ndugu Mama Anna Mghwira,Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Shabani Mambo na Katibu Mkuu Samson Mwigamba na afande Sele pia atakuwepo.

Wananchi wa Mbeya tayari wameshaanza kufurika ktk Viwanja vya Mkutano hapa..Mkutano unafanyika hapa Viwanja vya Rwandanzovye.

Nitaendelea kuwaletea kila kinachojiri ktk Viwanja hivi.

Bora ungesema ACT wasaka tonge kusaka tonge Leo Mbeya mjini
 
Mkuu mcubic si unajua kuna mamod wa ACT? Sasa niliposema ukweli kuwa ACT ni chama cha wahuni wakanilima ban

Easy Mkuu Mzito Kabwela chama chetu ACT kipo katika hatua za mwanzo za uchanuaji....kipotezee hakina madhara kabisa...sisi tunatafuta wabunge watatu tu au wanne.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa...nimecheka sana. Yani kukubalika hapo Masika kwa wahuni wenzie ndo moro yote?

Kote misufini, Mafiga, vibandani, masika, mwembe songo, mjipya, eneo la kihonda ndo kidoogo CDM wamelikamata
 
Kumekucha tana Wanaukumbi pro-Chadema mchakamchaka umeanza tena karibuni.

Usifikiri CHADEMA ni wa kupelekeshwa mchakamchaka na vimijusi kama CCM wanavyopelekeshwa na Lowassa.
 
Back
Top Bottom