david January
Member
- May 29, 2015
- 17
- 2
Nikiwa kama mtanzania mpenda mabadiliko ya kisiasa ninaamini katika umoja ni nguvu ninaamini Dr Slaa ndiye mwanasiasa wa upinzani mwenye ushawishi mkubwa binafsi namkubali sana, na kama mnavyojua michakato ya kuelekea magogoni imepamba moto, sasa tuko kwenye safari ya matumaini ya kushika dola, uwezekano ni mkubwa sana,lakini hilo halitawezekana kama wenzetu watakuwa wanapiga hatua kurudi nyuna umefika wakati salsa tuandamane kwenda kwa Dr Slaa ili tujue moja kuwa tuko pamoja kwenye safari ya matumaini au mwenzetu kajikwaa? maana kukaa kimya na kutoonekana kwa muda mrefu hasa kwenye matukio mhimu kunatuacha njia panda tumtafute polite alipo atueleze ukweli tusitegemee habari za mitandaoni na MAGAZETI ambayo kila mtu anaandika anavyotaka hasa Manyerere Jackton.