Recent content by David franco

  1. D

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Kwema wa ndugu, Binafsi nilikuwa naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kujiunga maana mie nimefungua mwanzoni nimeweka email yangu na wakanitumia email ya kuactivate shida ilianza hapa kwenye kuactivate mara iandike failed to activate au nikijaribu na email nyingine inaambia activated na ukitaka...
  2. D

    Msaada kuhusu windows update kwenye Nokia Lumia

    Msaada jinsi ya kuupdate windows 8.1 to windows10 kwene Nokia Lumia 1320
  3. D

    naombeni msaadaa wakuu

    naombeni msaada nilijisahau nikafuta sms ya muhimu sasa je naweza pata tena sms hiyo na software gani or app gani??
  4. D

    Linux special thread

    Mkuu mie nilikuwa naomba nipate maelezo jinsi ya kuinstall kali linus kwene pc yangu yenye window 10
  5. D

    Msaada: Kioo cha microsoft lumia 535

    aseee mkuu ni ehemu gani hapo coz hata mm nipo mwanza na nilikuwa na shida nacho naomba msaada wako
  6. D

    Msaada: Kioo cha microsoft lumia 535

    aseee mkuu kwa bei yako umenunulia wap?? coz huku mwanza ni 100,000 na ufundi ni 10000
  7. D

    Faida ya unywaji wa vodka au bia

    pombe haina faida yoyote ya kimsingi Zaidi ya kupata matatizo kibao ya kimwili ikiwemo pancreatitis, liver cirrhosis, inaaffect mfumo wa fahamu (CNS), cancer na hata ni moja ya risk factor ya ulcers kwa mimi naona hamna faida yoyote Zaidi ya kujitia matatizoni ni ushauri tu TAKE IT OR LEAVE IT
  8. D

    Nataka kununua blackberry Q10

    hapana soma vizuri tena siyo simu zote za black berry
  9. D

    Msaada wa Ms office 2016 key activator

    unaweza ukanitumia via telegram 0656683777 or email francomagira@hotmail.com asante
  10. D

    Msaada wa Ms office 2016 key activator

    Wakuu naombeni msaada wenu wa Ms office 2016 key activator
  11. D

    Naomba activation key office 2016

    na nikiwa na open inagoma kufunguka plzz nisaidiee
  12. D

    Naomba activation key office 2016

    Mkuu kabla ya nimedownload ila sijakuelewa hapo ulipo sema Hakikisha office haifanyi kazi background wakati teyARI IPO ms 2016
  13. D

    Naomba activation key office 2016

    Guys naombeni msaada wa activation key for Ms office 2016
  14. D

    Msaada wa kuweka window 10

    Asante wakuu Wacha ni jaribu
Back
Top Bottom