Hata mimi Mwezi wa nne sasa wana niambia vifaa hakuna
Mamlaka ya maji hawako serious na kazi yao.. mtu unalipia kwa wakati unakaa Miezi 4 na zaidi una ambiwa vifaa hamna vifaa hamna
Habari wana JF,
Kwa anayefahamu chimbo la bidhaa za Jumla, za Flash Disks, Memory Card, na Phone Accessories.. Location iwe Arusha au Dar.. Sana sana Arusha kama zipo..
Habari mkuu, nime jaribu kutafuta hiyo post uliyo elezea namna ya kupata makadirio ya gharama kweli sija iona, nime angalia profile post zako, sija fanikiwa kuona, unaweza ukaweka link yake hapa, kwa urahisi zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.