Mtaji wa milioni moja, naomba wazo la biashara

NAKULETEA DAGAA WA KUKAANGA KUTOKA MWANZA UKAUZE DAR HUKO.

WANALIPA SANA MKUU.

FANYA UTAFITI UTAKUJA KUNIAMBIA

UKIWA TAYARI NIAMBIE TUANZE MAPAMBANO. NAKUUNGANISHA NA DADAANGU KABISA ALIEKO.MOROGORO AKUPE MWONGOZO MZIMA WA BIASHARA KISHA UTAANGALIA MWENYEWE
 
Tafuta odd yako ya 2.00 tu kwenye betting, alafu weka stake yako ya laki tano kwenye mikeka miwili ile ya sure kabisa ya mechi mbili au tatu zile zenye uwakika kabisa. Utakuja kunishukuru
Hahaha kama ya jana ya City ilikua sure eee acha kumpotosha mwenzio akaja kukulaani bure
 
zipo biashara ambazo haziumizi hata kichwa wala hazitaki mtaji mkubwa.... nakupa hii moja kwanza....
Nenda sokoni kwenye watu wengi hasa wanawake utafute sehem barabarani hata ya kulipia lakini sio frem yaani mbele ya frem hapo unatakiwa utafute meza moja inagharimu laki 1 halafu nenda kanunue kuku wa kisasa wachinjwe kabisa halafu wewe uwe unakata vipande paja kidali na vengine uwe unawauzia kinamama wao wanaenda kupika nyumbani kwao... kama utauza kuku 5 tu tayari una 10000 kama faida.... unaweza ukaongeza na samaki wabichi pia.... pesa iliyobakia jipange ufungue sehem ya kuuza chips mdogo mdogo... mawazo yapo mengi ila nimeona hilo linakuafaa sana
Wewe upo vizur sana kimawazo
 
WAZO BIASHARA: KUUZA UJI WA LISHE

NYENZO MUHIMU

1.MABINTI WANNE WASAFI (tafuta wa maeneo jirani upunguze gharama za usafirishaji na malazi)
2.CHUPA KUMI KUBWA ZA UJI (za vikombe nane@)
3TAFUTA JIKO KUBWA LA MKAA
4.ANDAA UNGA LISHE MZURI KABISA(waone wataalam wakueleze)
5.ANDAA VIKOMBE MIA VYA UJI(vya plastiki ni Bora zaidi)
6.ANDAA VIKAPU VITANO VYA KUSAMBAZIA
7.ANGALIA NYENZO NYIGINE MUHIMU....

BIASHARA YENYEWE.

UKIWA NA MABINTI WANNE NA WEWE UKIWA WATANO.

KILA ASUBUHI GAWANENI MAENEO YENYE MIKUSANYIKO YA WATU MBALIMBALI

HAKIKISHA KUNA UJI WA ZIADA NYUMA

HAKIKISHA KILA MMOJA ANAUZA UJI CHUPA TATU ASUBUHI, NA CHUMPA MBILI JIONI.

KILA KIKOMBE NI TZS 500, KILA CHUPA INA VIKOMBE NANE(minimum, coz Huwa ni zaidi ya name) 8*5=40(idadi ya vikombe vya UJI atakavyouza Kila mtu Kila siku) so 40*5(idadi ya vikombe vinavyopaswa kuuzwa Kila siku)

200*500=100000(mauzo ghafi)

Kila mfanyakazi mlipe 3500kila siku
Utanisaidia kupiga hesabu zingine, nmechoka kutype, Kisha toa Kwa mauzo ghafi Yako
Trust me, utalala na Tshs 50000 ndani..

Ongeza ubunifu, acha ubosi, jifunze management, usafi muhimu

Mwisho, ALL THE BEST
 
Usisahau
30% +20% +30% +10% +10% (haya ni matumizi ya faida Yako yatakayoamua unaendeleaje mbele kibiashara)

30 - Akiba
20 - Kuza mtaji
30 - Matumizi binafsi
10 -Dharura
10 -Zaka
Utamaduni huu ni msaada, utakuweka mahali
 
NAKULETEA DAGAA WA KUKAANGA KUTOKA MWANZA UKAUZE DAR HUKO.

WANALIPA SANA MKUU.

FANYA UTAFITI UTAKUJA KUNIAMBIA

UKIWA TAYARI NIAMBIE TUANZE MAPAMBANO. NAKUUNGANISHA NA DADAANGU KABISA ALIEKO.MOROGORO AKUPE MWONGOZO MZIMA WA BIASHARA KISHA UTAANGALIA MWENYEWE
NAKULETEA DAGAA WA KUKAANGA KUTOKA MWANZA UKAUZE DAR HUKO.

WANALIPA SANA MKUU.

FANYA UTAFITI UTAKUJA KUNIAMBIA

UKIWA TAYARI NIAMBIE TUANZE MAPAMBANO. NAKUUNGANISHA NA DADAANGU KABISA ALIEKO.MOROGORO AKUPE MWONGOZO MZIMA WA BIASHARA KISHA UTAANGALIA MWENYEWE
Gunia la dagaa unauzaje Kwa bei ya jumla?
 
Fungua garage ya welding!mashine ndogo ya kuchoma 350k,grinder 350k..inayobaki itakusaidia kuanzia kodi n.k!ila mwanzo utatakiwa kuwa mvumilivu.
 
Kama umeoa mfungulie mugahawa mkeo azungushe hizo pesa.

Wewe utakuwa unaleta mahitaji ya mgahawa
Watejaa sisiii,tukila chakula kitamu akili zetu hua zinawaza nayeyee atakua mtamuu tu....mwambaa yupo tayarii afu jee anavutiaa watejaa? Kauli zake?
 
Brand New
Nokia 105 original
Batter 1200mAh
Full box
Bei 25000/=rejareja
Jumla 23000/=
No:+255788906890
Mikoani tunatuma
Delivery ipo
IMG_20230724_075124_186.jpg
 
Ndugu milioni moja nyingi sana!
Dafuta dalali akutaftie jiko kwenye bar iliyo changamka.
1.vyombo
2. Majiki na vitu vyote vinakuepogi vya mwenye bar tena kwa mtaji huo unaweza kumshawishi mwenye bar utampa 20k kodi daily
.Uza chips, ugali,kongoro, asubuhi supu .Serious kabisa ukisimamia mwenyew unarudisha hela yako ndani ya wiki mbili maana mi nimefanya hiyo
CHANGAMOTO:
Ukizembea siku moja tu ukishindwa kusimamia mauzo vizur umefirisika!!!
 
Mkuu fanya biashara ya nguo za mtumba za kike anza na laki moja tu inatosha kabisa kama una jicho la nguo,dili na nguo za kike tu maana wajuba ni ngumu sana kununua nguo ila wanahonga hatari,sehemu za kuuzia ni social network,vyuoni,maofisini n.k
Usisahau na wewe kupendeza wakati
 
Back
Top Bottom