Recent content by DAVID CAROL

  1. D

    NEC fatilieni malipo wanayolipwa wasimamizi wa zoezi nyeti la uchaguzi

    Leo ni semina kila eneo. Nauri hiyo haitoshi! Mazingira ya kijijini usafiri wa kwenda Katani ni shida , mpaka bodaboda. Mfano. Kutoka nilipo mpaka katani ni km 20, je, hiyo 5000/ itatosha?
  2. D

    Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    Kete ya katiba mpya waitumie vizuri sana. Kuna wananchi hawaijui katiba pendekezwa kuwa ilitungwa na ccm waliodharau maoni ya watanganyika na wazanzibar wanaotaka serikali 3. Waeleze kwa uwazi kabisa hasa mhe. Lowasa mwenyewe aahidi kuturudishia serikali ya tanganyika na kutatua kero za...
  3. D

    Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

    Kwa vyo vyote hii ni kampuni ya Mheshimiwa Jk.
  4. D

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Kikwete akiwa Kenya aliwahakikushia kuwa ushirikuano wa Tanzania na Kenya utaendelea hata akitoka. Akawaambia kuwa Rais ajaye Leo yupo Arusha, akimaanisha MAGUFULI. Je, Kikwete anatuchagulia Rais? Kingunge hakukosea aliposema Katiba ilivubjwa na watu fulani waliomtaka Magufuli.
  5. D

    Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Hata mimi mwenyewe tarifa muhimu sasa niya ENL. Akimalza tu nabadili channel kumtafuta kwingime
  6. D

    Sitaki CCM lakini namtaka Magufuli

    Unamtaka magufuli na katiba inayopendekezwa? Yeye yupo kwenye msimamo wa ccm wa kuhakikisha katiba yao inapita kwa namna yo yote. Katiba inayotokana na maoni ya watanzania tutaipata ukawa wakishika dola.
  7. D

    Vincent Nyerere na Wenje waishangaza Musoma mjini leo

    wewe unayesema hata Magufuli akiwa Rais sawa tu! Je, na wewe hauitaki katiba mpya inayotokana na maoni yetu? MAGUFULI YUKO UPANDE WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA!
  8. D

    Matokeo Kubandikwa Kwenye Vituo Si Tatizo, Tatizo Uwasilishwaji matokeo ngazi ya kitaifa

    Huko ndiko matokeo huchakachuliwa. Wanadai siku hiyo watafunga mitandao/ data! kwa faida ya nani? Bila shaka hawataki matokeo ya vituoni yatumwe makao makuu ya vyama ili yajumlishwe kama Ndeesambulo na Lisu walivyo ahidi kufamya. UKAWA WAWE MAKINI , USHINDI WANAO LAKINI WAKIZUBAA BAO LA MKONO...
  9. D

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    Walimu wengi bado wanaidai serikali lkn hao CWT wapo kimya huku wakiendelea kufyeka 2% ya mshahara wa mwalimu kila mwezi. Kwa upande Wangu sioni umuhimu wa CWT ya sasa!
  10. D

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    bado siku zake 19 za urais, uteuzi wa nini? Time ya uchaguzi watuache kabisaa tulinde kura zetu na mitandao isizimwe siku hiyo ili kurahisisha mawasiliano.
  11. D

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Tumewaona majeruhi ITV, msitudanganye tafadhari!
  12. D

    Ccm hawapendi 25 oktoba 2015 ifike haraka

    Mungu wetu wa Mbinguni tunakuomba uutimize unabii wako uluosema na Mtumishi wako Askofu Kakobe. Yote yanawezekana katika jina la Yesu
  13. D

    Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    CCM wamepewa moto mgumu kama Farao, kwa sasa hawawezi kutuelewa wala kuamini unabii Askofu Zachary Kakobe
Back
Top Bottom