Habarini wakuu,
Natafuta location nzuri kwaajili ya kufungua biashara ya hardware hasa pembezoni mwa mji ambapo bado ujenzi unaendelea.
Itapendeza kama itakuwa ndani ya mkoa wa Dar au Pwani. Ni biashara ambayo nina ifanya mpaka sasa maeneo ya chanika ila nahitaji kubadilisha location.
Mtaji...
Mimi nipo Dar, ninafanya biashara ya hardware ila nimekutana na changamoto nafikiria bubadilisha biashara, pia ninafikiria kuhusu biashara ya nafaka ila sina uzoefu nayo
Nyumba ipo Chanika mwisho wilaya ya ilala DSM
Ina chumba kimoja chenye ukubwa wa futi14 kwa14 na fremu ya biashara moja pia yenye ukubwa wa futi14 kwa 14. Imekamilika kila kitu pamoja na tiles
Ipo kwenye barabara ya mtaa na ni sehemu nzuri ya biashara hususan biashara ya hardware au duka la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.