“Chanzo cha dunia, uhai na ulimwengu ni nini?"
Chanzo huwa na ukomo (mwisho)
Uhai mwisho wake ni kifo. Vipi kuhusu dunia na ulimwengu mwisho wake ni nini?
Je ni lazima kila kitu kiwe na chanzo na mwisho? Kama ndivyo hata hicho chanzo unachokitafuta utahitaji kutafuta tena chanzo chake, tena na...
Wewe unaijua Dar es salaam kweli? Au umekulia ushuani?
Kwa taarifa yako dar kuna mitaa siyo sukari ya 200 tu. Mkate unauziwa nusu au robo. Karoti, hoho, na nyanya vimekatwa unauziwa kipande.
Nimepitia comments, watu wanajitahidi kulaani, kukemea na matusi juu. Wengine wanauliza kabila la mtoa uzi.
Ila ukweli ni kuwa suala la kulana ndani ya koo au familia, kwa siku za karibuni limeonekana ni jambo la kawaida sana. Lipo karibia kila kabila na kila koo.
Mfano wakati nikiwa uchagani...
Kuna mwanangu aliambiwa ampelekee moto mama mkwe wake. Sasa akawa hajui ataanzaje. Ikabidi anishirikishe tena kwa kutanguliza samahani nyingi maana anajua msimamo wangu juu ya vitu vya kusadikika.
Baada ya kunieleza nikamshauri amchanganyie huyo bi mkwe valium pill kwenye kinywaji akisinzia...
Ushauri wangu.
1. Achana naye kwa amani kabisa maana wewe siyo chaguo lake.
2. Msamehe tu, hizo ni changamoto na kawaida humpata mtu yeyote.
3. Chagua kati ya 1 au 2 uishi nayo.
Naomba kuwasilisha
Hofu kubwa nyingine ni kuwa ukifiri nje ya box namna hiyo ni kuwa unakufuru na hiyo dhambi haisameheki.
Unakufuru nani? Dhambi kwa nani? Na haisameheki kwa nani? Hebu tuache upuuzi shubaaamit😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.