Recent content by David A Sendongo

  1. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

    Labda unaota, pole
  2. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Wakenya watamani Rais Magufuli awe Rais wao angalau kwa mwaka mmoja

    Hapo ni kutaka misifa tu
  3. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Ukweli ndio huu: Wanaume huchepuka kwa ngono tu, wanawake huchepuka kufuata mapenzi

    Naweza nikaamini kulingana na nilivyo ona.
  4. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Unasoma wapi kwamba Paulo alimnunua Anania ili athibitishe uongo wake?
  5. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Soma Isaya 9:6
  6. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Hata mwanaume wa peke yako siku hizi hakuna.
  7. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Nakuunga mkono. Kwnini dini zote zianzie huko kwa wazungu na waarabu? Hii ni chaneli iliyotengenezwa ili kujipatia kipato.
  8. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa Mwezi Julai 2016 umepungua hadi Asilimia 5.1

    Hizi takwimu mnazitoa wapi, mmepita mitaani mkaona bei zimepungua? Hizo ni takwimu za kwenye vitabu na wala si halisi.
  9. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Tukubali kwamba sisi Waafrika ni Watu dhaifu sana!

    kweli kabisa, ndiyo maana tunaonewa, tunanyanyaswa lakini tumekaa kimya huku tukijivunia kwamba kuna amani, kumbe ni woga wa kutetea haki zetu.
  10. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Analipwa pesa kwa kubikiri watoto, kufanya ngono na wajane!

    Analipwa pesa kwa kubikiri watoto, kufanya ngono na wajane! Analipwa pesa kwa kubikiri watoto, kufanya ngono na wajane! | MZALENDO BLOG
  11. David A Sendongo

    JamiiForums Tanzania Mtanzania afanikiwa kuunda na kurusha helkopta yake huko Tunduma Songwe

    Huyu jamaa ni mkali ajabu, watu kama hawa nchi za wenzetu ni mtu muhimu sana ns anapewa sapot na Serikali.
Back
Top Bottom