Recent content by davetz 23

  1. davetz 23

    Bajeti ya Serikali mwaka 2025/26 Itakuwa Trilioni 55.03. Sawa na ongezeko la Trilioni 20 Ndani ya miaka 4*1/2 ya Rais Samia.

    Sijui uchumi,ila tunaangalia kiasi cha utegemezi kujua kujua au kusinyaa kwa uchumi.,utegemezi umepingua kwa asilimia ngapi ukilinganisha na awamu uliyolinganisha?
  2. davetz 23

    Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Hata wewe huenda ukawa nyumbu pia,kama unaona watu wamelala kwa nini usiwe mbele kuhamasisha? Unadhani vyama vya upinzani kushindwa uchaguzi kumetokana na hao uliowataja? Mara ngapi maandamano yametangazwa mliwahi shiriki au hao ambazo sio walimu na mapolisi wameshiriki? Usicoment tu kwa...
  3. davetz 23

    Mzungu kakataa Mimba

    Umaskini wa mawazo utaisha lini? Avune alichopanda
  4. davetz 23

    Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

    Tatiso mfumo na maimbile yanamuathiri mwanamke
  5. davetz 23

    Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

    Wanawake wanachukia sana mada hizi za UMIHINU WA MWANAUME KUOA MKE MWENYE BIKRA. Wengi wape,unaweza kumpata mke bora ambaye hana bikira lakini kwa asilimia kubwa mke bora pamoja na mambo mengi ni yule aliye weza kujitunza na hadi pale alipoolewa. Baadhi ya makabila walikuwa wakimruhusu mume na...
  6. davetz 23

    KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Nilipita pale undergraduate niliapa siwezi kurudi pale. Labda uwe genius utaenjoy maisha ya UDSM
  7. davetz 23

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hizo mada wanawake hawazipendi japo zina ukweli. Watakimbilia tafuta hela.,Lakini uko sahihi hata kama watakipinga,kuna wanaume hawana hela lakini wamepata perfect women na wanaenjoy maisha.
  8. davetz 23

    Decorder ya Canal Plus

    Inapatikana vipi?
  9. davetz 23

    Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

    Wa mikoani itachukua muda kupata hiyo fiber
  10. davetz 23

    Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Kwani wewe ni maemaji wa serikali?
  11. davetz 23

    Napenda kupata elimu kama kuna masharti ya kurusha drone za kupiga video Tanzania

    Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa kumiliki na kurusha drone ndogo kwa matunizi binafsi
  12. davetz 23

    Sharp Aquos

    Zinavutia natamani kununua lakini sijapata maelezo ya kutosha kuhusu uzuri na ubaya wa simu hizi
  13. davetz 23

    Nilijifundisha programming kwa namna hii

    Hongera,nadhani na mimi umetusaidia sana
  14. davetz 23

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Mbunge anayetunga sheria miaka mitano anaondoka na mamilioni ya fadha na huyo mtumishi miaka 33 ameitumikia nchi hii kwa uaminifu mkubwa. So sad kwa kweli
Back
Top Bottom