Recent content by davejbokaa

  1. davejbokaa

    Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Yan wakishaona 2020 hawatapata kura basi inawabidi wahame ili wasikose kula ovyo kodi zetu.
  2. davejbokaa

    Fursa ya kupakia udongo kutoka machimboni

    Daaaah mimi sio.mtaala wa hayo mambo kaka
  3. davejbokaa

    Nina ndoto za kushika mawili ila naogopa moja kuponyoka.

    Nashkuru sana kwa ushauri wako mzuuri
  4. davejbokaa

    Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

    Ikiwa hakuvutii ni kwmba haumpendi hivo uskubali kuolewa nae kwa ushawish wa pesa tambua ikiwa utaolewa nae basi wenye mvuto kuliko yeye wanaushawish mkubwa wa kuharibu ndoa yako ... Na pengne yweza ikawa sababu ya matatizo makubwa hata kupelekea vifo baina yenu na kukawa na majuto makubwa cha...
  5. davejbokaa

    Nina ndoto za kushika mawili ila naogopa moja kuponyoka.

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwka wa pili napenda sana kufanya biashara ila nahofia sana kufanya vivo kwani program ninayoisoma inahitaji kuwa busy sana sasa imekuwa kikwazo kwangu kwani nahofia kupoteza moja kati ya mawili haya masomo ama biashar. Kama inavojulikana biashara hua...
  6. davejbokaa

    Rais Magufuli: Kuna viongozi na wanachama zaidi ya 200 walitaka kujiunga CCM leo

    Hhhhhhhhhhhhh ametoa muda wa kuwahonga hao viongozi ili mpka itakapofika mkutano mkuu wa dodoma watakua washapata pesa zao hivyo ndo wahamie CCM
  7. davejbokaa

    Tetesi: Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM

    Mungu akuhurimie ikiwa wasema ukweli ikiwa wadanganya pia Mungu akuadhibu kwa kusema wongo
Back
Top Bottom