Recent content by Davan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hadhi ya makazi ya Mbezi Makabe

    Jiografia ya huko bado sijaishika vizuri ila nasikia unaweza kupita hiyo barabara hadi mabwepande
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hadhi ya makazi ya Mbezi Makabe

    Haipiti tegeta A?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye Serikali imeanza kutoa motisha kwa Walimu wa Sayansi

    Salary imeingia vipi ajira mpya mmeanza na TGTSD3? Au kwenye mkataba wenu mabadiliko yanaanza lini?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye Serikali imeanza kutoa motisha kwa Walimu wa Sayansi

    Salary imeingia leo 25/1/2021 hakuna mabadiliko yeyote. Hizi habari ulisikia wapi?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nataka nikope Tsh milioni 10 SACCOS ninunue gari. Niambie uzoefu wako ulivyokopa pesa na kununua gari

    Usimtishe, akikatwa laki 3 kwa mwezi bado anabakiwa na laki 7
  6. D

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ziruhusiwe zilipe watumishi wake kadri ya makusanyo kama ilivyo kwa mashirika ya umma

    Matabaka yapo tayari kwenye taasisi na mashirika ya umma na halmashauri
  7. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Tofauti ya Vijana wa kiume wa Kinondoni, Ilala na Temeke

    Kuna ukweli maana vijana wengi wanapenda maisha mteremko kula kulala, gym, pamba kali ila kazi ngumu hawataki
  8. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Tofauti ya Vijana wa kiume wa Kinondoni, Ilala na Temeke

    Celebrities wote wakubwa wanaishi kinondoni Viongozi wote wakubwa wanaishi kinondoni Kwa ufupi kinondoni ni nyumbani ilala ni ofisini
  9. D

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Uingereza, Uhispania na Ufaransa wakati wa ukoloni

    Title ya Ph D hii mkuu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nimeagiza simu mtandaoni imefika walichonifanyia TRA leo sitokaa nisahau mpaka nakufa

    Toa elimu kwa manufaa ya wengi mkuu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

    Kati ya mkurugenzi wa NIDA na mkurugenzi wa halmashauri nani ana majukumu mengi? Halmashauri inashughulikia elimu, afya,kilimo, michezo, ardhi, takwimu na mengine mengi mbona salary yake kisoda ukilinganisha na huyo wa NIDA
  12. D

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

    Ofisi gani wanafanya kazi kuanzia asubuhi hadi saa moja usiku bila kulipwa overtime?
Back
Top Bottom