Brother wengi hawajui mengi kuhusu Israel iko hivi ngoja nikwambie Jambo ukitaka kujua Israel walivyo hatari mwambieni Putin apeleke jeshi kusaidia Hamas nakuhakikishia ndani ya mda mfupi mtaona kitacho mkuta Putin nikukumbushe ndani ya jeshi la Russia wapo wayahudi hata prigozhin alikua...
Brother maendeleo na mafanikio Yana Siri nyingi sana ukisoma historia ya uingereza , marekani,urusi ,hayajaendelea hivihivi Kuna Mambo wamefanya ndipo nchi zao zikawa na nguvu mfano uingereza walikua wanatoa fungu la kumi la pato lao la taifa the same to America labda tuangalie warabu ile...
Africa Ni bara tajiri MUNGU amelipa Mali nyingi but still bado Ni maskini. Tuliosoma darasani sababu za bara hili kua maskini kwa mtazamo wangu sio kweli .Tujiulize yafuatayo.
Nikweli Africa haina miundo mbinu, nikweli Africa haina raslimali watu, hivi nikweli hatuna viongozi sahihi n.k...
Kuna vitu watu wanachanganya wanafikiri Israeli hawakosei Kama binadamu wengine pia wanazani makosa hayo yanafanya lisiwe taifa teule like taifa mpaka MUNGU aliapa kwa nafsi yake hivi unazan MUNGU nikama kigeu geu achague miaka yote hiyo alafu agairi 2024 makosa walio nayo hayamaanishi kua...
Hiki kitu ni hatari sana kwenye hatima ya maisha ya nafsi za watu kuokolewa au kupotea milele: USHOGA na USAGAJI. Ni kweli maandiko yamenyamaza kuhusu msamaha wao. Ila ndugu, usijaribu kufanya vitendo hivi. Nitauliza maswali mawili tu mwenyekiti upeo anijibu:
Anayeweza kuonesha mahali kwenye...
Habari:
Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.